akaunti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HOJA Benki ya CRDB inatuhumiwa kuibia watu hela kwenye akaunti zao. BoT ipo Kimya

    Hili swala la Benki kukata hela kwenye akaunti ya mtu bila makubaliano si sawa. Wanatakiwa watoe taarifa kwamba kuna hela hii tutakata mwezi ujao. Mtu unaweka pesa zako benki ukijua ni sehemu salama ukipatwa na shida ukaenda huikuti. Si bora mtu angeiweka chini ya godoro tu? Nashauri BoT...
  2. Polisi Tzfungueni akaunti Tiktok iwe Verifed !

    Jeshi la Polisi ni kwaajili ya Usalmlama wa Raia na mali zao. Raia wema ni wengi na kwenye mitandao kama tik-tok kuna wahalifu wengi ambapo ni rahisi kuwa-tag na kuona huyo mwalifu na kumshughulikia. Lakini maandamano na uhalifu mbalimbali itakuwa ni rahisi kuuzima kama mtakuwa na akaunti na...
  3. W

    SACCOs Zimeongeza Wanachama 480,000 - Lakini Akaunti Milioni 1.69 'Zimelala'

    SACCOs nchini Kenya zilipata Wanachama wapya takriban 480,000 katika kipindi cha mwaka mmoja, huku idadi ya wanachama katika SACCO zinazodhibitiwa ikifikia milioni 7.87 mwaka 2025, kutoka milioni 7.39 mwaka 2024. Kwa mtazamo wa kwanza, hii inaonekana kama ishara ya kuongezeka kwa imani ya...
  4. Q

    Mahakama yazifunga akaunti za benki za CHADEMA hadi Renatus Nzemo alipwe stahiki zake za utumishi

    Inaelezwa kuwa Akaunti za benki za Chadema zimefungiwa hadi wamlipe Renatus Nzemo madai yake ya stahiki zake za Utumishi. Who's Renatus Nzemo.
  5. Akaunti Bandia Mitandaoni: Kwa Nini Ukubali Urafiki wa "Wachunguliaji" na Wambea?

    Katika ulimwengu wa sasa wa mitandao ya kijamii kama Instagram na Facebook, imekuwa kawaida kukutana na maombi ya urafiki (friend requests) au watu wanaotaka kukufuata (follow requests) kutoka kwa akaunti zisizoeleweka. Akaunti hizi mara nyingi zinatumia majina bandia, picha zisizo zao (au picha...
  6. Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake. Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika. Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost. https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
  7. O

    Matiang’i Aibua Kengele: Akaunti Kudukuliwa, Mawasiliano Kukatizwa na Viongozi Kufuatiliwa

    Aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Fred Matiang’i, ameibua madai mazito kuhusu usalama wa viongozi wa upinzani na mazingira ya kisiasa nchini, akidai kuwa baadhi yao wamekuwa wakikumbwa na vitisho vya kiteknolojia na ufuatiliaji. Matiang’i amesema kumekuwa na madai ya akaunti za watu...
  8. Kama Unahitaji akaunti ya Google Adsense, nitafute

    Kama unahitaji kuanzisha Blogu/Wordpress mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na nitakusaidia kusajili jina la blogu na Domain Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k. Nipigie WhatsApp/sms/call +255 670929424
  9. L

    Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

    Ndugu zangu Watanzania, Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani. Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia...
  10. Msaada akaunti ya bolt kufungiwa

    Habarin wana JF Naomba nieleze kidogo changamoto yangu iliyonikumbuka Wenda Kuna wajuzi wanaweza nisaidia ndani humu. Mwezi wa tano nilisafiri kwenda mkoa kwaiyo nilikuwa na pkpk ambayo ilikuwa inafanya shughuli za bolt kwa ajiri ya kujipatia kipato Basi Kuna kijan nikamuachia pikpk aendelee...
  11. Mwana-JF usisahau kulog out kwenye akaunti yako ukishamaliza shughuli zako humu

    Mzee mmoja alinipa simu yake ili nimsaidie kuset kitu fulani. Nikakuta app ya JF kwenye simu yake 😯. Shetani aliniingia nikajisema, ngoja nijionee ID yake. Nilizama kwenye jukwaa nikaji-tag, kisha nikachukua simu yangu nika-screenshot kisha nikafuta ile post kwenye simu yake ili asijue kama...
  12. Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Fiverr na Kuanza Kuuza Ujuzi Wako

    FIVERR ni soko la mtandaoni linalokuunganisha na watu duniani kote wanaohitaji huduma hizo na wako tayari kulipia ukiwa tu na kipaji au ujuzi wowote, labda kuandika, kutafsiri, kutengeneza logo, kuhariri video, kusimamia mitandao ya kijamii, kurekodi sauti au hata kuingiza data. Leo nakupa...
  13. AKAUNTI YA TIKTOK INAUZWA

    Habari zenu ndg zang wa JF nauza akaunti ya Tiktok ina 80.1k followers na 411.2k likes,,bei ni 150k tu ....kwa mawasiliano 0634362673
  14. Chief Godlove akimbia na akaunti za msanii wake

    Msanii wa rap Bongo, Scorpion (Tgun Tozzy) ameeleza malalamiko yake akidai kuwa Chief Godlove amekimbia na chaneli yake ya YouTube huku akikataa kumpa mkataba wa lebo kama walivyokubaliana!. "Barua ya wazi kwa tajiri Chief Godlove. Nimeamua kutumia njia hii kukufikishia ujumbe huu kwani...
  15. S

    Naomba elimu zaidi kuhusu kufungiwa akaunti za nje za viongozi

    Kwamba kabla hawajafungiwa akaunti zao za nje je,hawawezi kuzichepusha ili zisifungiwe hususani kipindi hiki wakati mchakato wa utekelezaji wake unasubiriwa?
  16. Natafuta Mwekezaji wa Milioni 10+ Kwenye Crypto Trading. Mtaji Unakaa Kwenye Akaunti Yako (Self-Custody). Lengo: Hadi Tsh 500,000 kwa Siku

    Natafuta mwekezaji kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwenye masoko ya kifedha (Crypto) kupitia mfumo wa "Quantitative Trading". Kikwazo kikubwa cha uwekezaji mtandaoni ni usalama wa mtaji. Kuondoa hili, katika ubia huu, hutakabidhi mtaji wako kwangu. Usalama wako ni 100% kwa sababu mtaji...
  17. Mwigulu: Fedha za miradi zilipwe kwenye akaunti zilizopo nchini

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi wa Karatu.
  18. A

    KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo. Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
  19. Jinsi ya Kutengeneza Barua Pepe (Email) Nyingi Bila Kikomo Kutoka Akaunti Moja ya Gmail

    Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana. Unaweza kufanya hivyo kupitia mbinu inayoitwa “plus addressing.” Plus Addressing ni nini? Plus addressing ni njia...
  20. Naomba niulize kuhusu makato ya akaunti za biashara NMB

    Nina akaunti ya biashara NMB. Jana nimedownload statement yangu imesoma kama unavyo ona hapa chini: Ni kipi kinasababisha Monthly Fee ya kila mwezi itofautiane? Kilichofanya nilete mada hii hapa ni baada ya kuona nimekatwa Monthly fees Jumla ≈ TZS 227,780.85 na hiyo imefanyika ndani ya siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…