ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakati wa ujenzi wa Reli ya TAZARA (1968 – 1975) zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa

    Wakati wa Ujenzi wa Reli ya TAZARA zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa, kati yao Wachina walikuwa 64. Ujenzi ulihusisha Vibarua na Wahandisi 38,000 kutoka Tanzania na Zambia, pia timu ya Wataalam na Wahandisi 13,500 kutoka China. Reli hiyo iliyojengwa kati ya Mwaka 1968...
  2. Je, wajua abiria una haki ya fidia endapo basi ulilopanda litapata ajali?

    Habari ndugu Jf mebers, leo napenda kushare jambo ambalo wengi pengine hawalijui kuhusu fidia za bima kwa abiria wa mabasi. Ipo hivi, kama ilivyo Sheria ya Tanzania ni lazima chombo cha moto kiwe na bima, hivyo mabasi yote hukata bima na kampuni za bima huwa wanacharge kiasi cha malipo...
  3. Watu 16 wafariki katika ajali ya gari walipokuwa wakirejea kutoka msibani

    Ajali ya barabarani iliyohusisha lori na daladala kwenye barabara kuu ya Kagadi-Kyenjojo katika halmashauri ya mji wa Nyanseke-Muhorro, wilayani Kagadi. Ajali hiyo pia imewaacha wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya, ambao wote wanaripotiwa kuwa walikuwa wakirejea kutoka mazishi. Kaimu afisa wa...
  4. Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" ...
  5. Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

    Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa. Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
  6. F

    LATRA ajali za usiku zisiwafanye mbadili maamuzi, wapeni madereva muda wa kuzoea safari za usiku

    Uhuru wa abiria kusafiri usiku ni muhimu mno kwa maendeleo yetu. Unatoka Arusha saa 10 jioni unafika Dar saa 10 asubuhi. Unafunga mzigo wako mchana jioni saa 10 unakamata BM unarudi Arusha asubuhi saa 10 upo Arusha. Biashara inaendelea. Madereva wa mabasi wanahitaji muda kidogo kuweza kuzoea...
  7. Mfanyabiashara Aponye afariki kwa ajali ya gari

    Renowned Ugandan businessman Apollo Nyegamehe has died after the car in which he was travelling rammed into a stationary lorry along Mbarara-Kabale highway in Ntungamo District. The ruling National Resistance Movement (NRM) chairperson for Rukiga District who's popularly known as Aponye, died...
  8. Songwe: Ajali ya Malori 2, Bajaji na Bodaboda yaua Watu 5 Momba

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea katika eneo la Mpakani Wilaya ya Momba mkoani Songwe. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu leo Jumatano Juni 5, 2023; Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Theopista Mallya amethibitisha kutokea ajali hiyo...
  9. Kwahiyo LATRA kuyafungia Mabasi 37 ya 'New Force' ndiyo kutamaliza Ajali za Mabasi Tanzania nzima?

    Yaani Wafanyakazi wote wa LATRA ndiyo mna aina hii ya Ubongo mbovu uliowapelekea nyie kuja na Maamuzi haya ambayo GENTAMIYCINE sioni Aibu kuyaita ni ya Kipumbavu huku yakiwa yamejaa Chuki, Visasi, Wivu na Uonevu? LATRA mbona hamyachukuli hatua Mabasi ya Tajiri Mkongwe wa Mkoani Morogoro ( na...
  10. Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

    Kampuni iyo ambayo imemaliza mwezi uliopita kwa mabasi yake 12 kupata ajali na kuua abiria wengi Mwezi huu wa 7 pia wameanza kwa kasi ya ajali Leo hatimaye wamepata ajali nyingine kitonga na chanzo kikuu ni mwendokasi Serikali wamegoma kuifungia hii kampuni
  11. B

    New Force yapata ajali Kitonga

    Mapema leo Julai 2, 2023, eneo la KITONGA imetokea ajali ya Bus la Kampuni la NEWFORCE, tusubiri taarifa kamili kutoka mamlaka husika.
  12. B

    Ajali zimekuwa nyingi, abiria paza sauti

    Je wajua vyanzo vya AJALI barabarani? Abiria kuwa kimya bila kukemea au kutoa taarifa polisi dhidi ya makosa yafuatayo: 1: Dereva kuyapita magari ya mbele bila TAHADHARI. 2: Dereva kuendesha gari akiwa amelewa pombe au dawa za kulevya. 3: Dereva kuendesha chombo kwa mwendokasi. 4: Dereva...
  13. Kenya: Zuio la muda wa kuwa nje wakati wa COVID-19 liliongeza Ajali za Barabarani

    Utafiti mpya umebaini kuwa zuio la muda wa kuwa nje ya usiku hadi alfajiri nchini Kenya, iliyotekelezwa mwezi Machi 2020 kwa lengo la kupunguza maambukizi ya COVID-19, ilisababisha bila kukusudia ongezeko la ajali za barabarani. Utafiti huo uliofanywa na watafiti kutoka taasisi mbalimbali...
  14. SoC03 Zijue taratibu za kisheria katika kudai malipo kutoka kwenye kampuni ya bima baada ya kumpoteza ndugu kwenye ajali

    UTANGULIZI Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu. Jambo la kusikitisha wengi wetu hatuna elimu au uelewa wa kisheria kuhusu hatua zipi zichukuliwe na...
  15. Watu zaidi ya 150 wamekufa maji katika ajali ya boti nchini Nigeria

    Boti hiyo ilikuwa ikiwasafirisha watu katika jimbo la Kwara kutoka kwenye harusi katika jimbo jirani la Niger wakati ilipoanguka, polisi wa jimbo hilo na ofisi ya gavana walisema, bila kutoa maelezo ya chanzo cha ajali Zaidi ya watu 150 wamekufa maji kaskazini mwa Nigeria baada ya boti...
  16. Rais Samia anatengenezewa Ajali za kisiasa

    Kwanza nianze kwa kuwapa starter moja muhimu sana maana Watanzania tumeumbwa kukumbuka ya leo, ya jana tunayasahau kirahisi sana. Mnakumbuka Rais Samia alitangaza kuifungua nchi na watu wote tukashangilia? Mnakumbuka alisema atakamilisha miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli na watu wote...
  17. O

    Ajali ya Harrier na Fuso yadaiwa kuua wawili Morogoro

    Watu wawili wanadhaniwa kufariki na mmoja kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha gari dogo aina ya Toyota Harrier lililogongana na lori aina ya Fuso eneo la Melela Mangae wilayani Mvomero mkoani Morogoro. Ajali hiyo ni ya tatu ndani ya siku tatu mkoani hapo, ambapo juzi basi dogo aina ya...
  18. M

    Majeruhi zaidi ya 15 wa ajali ya bodaboda hupokelewa MOI kila siku. Lema alikuwa sahihi

    Hii ni taarifa iliyoripotiwa na daktari wa MOI katika habari ya Saa 2:00 usiku huu. Kwa taarifa hii ni wazi kuwa taifa linapoteza nguvu kazi kubwa Sana. Pia soma: Majeruhi ajali za bodaboda tishio, MOI hupokea wagonjwa 280 kwa mwezi
  19. Ajali ya gari Kimara Suka

    Gari la abiria lililokuwa linatoka Makumbusho kwenda Mbezi likiwa limeingia kwenye mtaro baada ya kudaiwa kusukumwa na roli eneo la Kimara Suka jijini Dar es Salaam jana. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia ajali hiyo, walisema baadhi ya abiria walijeruhiwa. Credit: Nipashe
  20. India: Zaidi ya Watu 300 wapoteza maisha katika ajali ya treni

    INDIA: WATU ZAIDI YA 300 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA TRENI Taarifa za awali zinaeleza idadi ya waliopoteza maisha ni 288 huku wengine 850 wakijeruhiwa katika hiyo iliyotokea Jimbo la #Odisha, lakini kumekuwa na ongezeko la idadi ya waliofariki kwa kuwa zoezi la kutoa miili iliyonasa kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…