afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. Naira ya Nigeria Iliporomokaje Kutoka ₦156 Hadi ₦1,534 kwa Dola? Funzo Kubwa kwa Afrika Mashariki!

    Mwaka 2014, Dola 1 ya Marekani ilikuwa inauzwa takriban Naira 156 nchini Nigeria. Kufikia Februari 12, 2024, Dola hiyohiyo iligonga Naira 1,534 kwenye soko rasmi (na kufika hadi ₦1,830–1,900 kwenye soko la mtaani/parallel market). Kufikia Novemba 19, 2026, kiwango rasmi kimekaa karibu na Naira...
  2. Sarafu Moja ya Afrika Mashariki (2031): Nini Kingebadilika Kweli au Ni Mtihani Mgumu Zaidi?

    Mpango wa kuwa na sarafu moja ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulisainiwa mwaka 2013 ukiwa na lengo la kuanza 2024, lakini tarehe ikasogezwa mbele. Julai 2026, magavana wa benki kuu walithibitisha tena lengo la mwaka 2031. Uchambuzi mpya wa East Africa Economics (link hapo chini) unaangalia...
  3. Nchi za Afrika Mashariki zatakiwa kupitia mikakati ya ulinzi ili kukabiliana na vitisho vipya vya kiusalama

    Mabadiliko ya hali ya usalama katika eneo la Afrika Mashariki yanazitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuendelea kupitia na kuimarisha mikakati yao ya ulinzi ili kukabiliana ipasavyo na vitisho vipya na vinavyovuka mipaka ya nchi. Wito huo umetolewa Novemba 19, 2026...
  4. Masikitiko takwimu za wanao tembelea website afrika mashariki zimeni shangaza sana

    Tanzania watumiaji wa watsap ni wachache kulikowa sportbet yani bongo wanao bet ni wengi kuliko wanao tumia watsap, WAnao tembelea porn site kenya ni idadi kubwa mara mbili kuliko wa tanzania wanao tumia watsap. Uganda hawajapoa wanao bet ni wengi kuliko wanao tumia watsap. X videos ni...
  5. Nani Kinara Afrika Mashariki 2026?

    https://youtu.be/KuUO1ItbOUU Habari zenu Wana-JF. Mara nyingi kukiwa na mjadala wa kiuchumi Afrika Mashariki, ubishi unakuwa kati ya Tanzania na Kenya. Lakini vipi tukiziweka nchi tano za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Burundi) kwenye mizani moja kwa kutumia takwimu za...
  6. Nyerere aliona mbali sana. Huwezi kuwa na shirikisho la sarafu bila kuwa na shirikisho la kisiasa. Akasitisha matumizi ya sarafu ya Afrika Mashariki.

    Huu ukweli Nyerere aliuona mbali sana. EU wanakuja kuuona wameishachelewa na inawatesa sana. Msikilize Nyerere. Aliongea haya 1966 "Kuna badiliko jingine kubwa linalotokea katika mambo ya uchumi wetu, ambalo linahusiana sana na maendeleo yetu. Kesho noti za fedha za Tanzania zitatolewa kwa mara...
  7. Video: Sarafu ipi ya Afrika Mashariki imeshikilia thamani yake vizuri zaidi katika miaka 10?

    https://youtu.be/7XUF3in8wzQ Habari wanajukwaa, Video hii inalinganisha sarafu tano za Afrika Mashariki dhidi ya dola ya Marekani, kuanzia 2016 hadi tarehe 6 Novemba 2026. Zote tano zimepoteza thamani, lakini tofauti ni kubwa: Uganda: takriban -16% Tanzania: takriban -18% Kenya: takriban...
  8. H

    Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubw

    Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubwa za kimataifa bali kwa miongo kadhaa, imekuwa ikifundishwa kwa ufahari katika taasisi za kitaaluma za hapa Urusi - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  9. M

    Kama Kenya nayo imepoteza sifa ya safe haven, wanaharakati wa kisiasa Afrika Mashariki wakimbilie wapi ? Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC ?

    Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
  10. M

    Miaka 30 ijayo watutsi wanaweza kuwa na jeshi lenye nguvu zaidi Afrika mashariki na kati

    Weka pembeni kabisa stori za mwaka jana kuhusu jinsi majeshi ya M23 walivyowakimbiza wanajeshi wa Afrika Kusini, Tanzania, na hata wale mamluki wa kulipwa mpaka wakaachiwa njia salama (safe passage) kuelekea Rwanda. Kiukweli, hawa jamaa uwezo wao wa kijeshi unazidi kuongezeka kwa kasi sana...
  11. Rwanda Yaandika Historia! Kagame Afanikiwa Kuileta Formula 1 Afrika!

    Rwanda imeandika historia baada ya kufikia makubaliano ya miaka 10 na waandaaji wa mashindano ya Formula 1 (F1) kuandaa African Grand Prix, ambayo inatarajiwa kuingia kwenye ratiba mwanzoni mwa mwaka 2030. Hii si habari ndogo. Formula 1 ni moja ya mashindano makubwa zaidi ya magari duniani...
  12. Marathon ya petroleum refineries Afrika mashariki na hatma ya Jumuiya yetu..

    Ninawaza kwa sauti, hivi ni kweli kabisa Rais Samia atakuwa hajamnunia Rais Ruto kwa kuchepusha uwekezaji wa refinery kutoka Tanga kwenda Lamu? Nasema hivi kwakuwa mazingira ya namna mradi huu ulipotangazwa kwa mara ya kwanza kuwa utatekelezwa Tanga, ni kama kulikuwa na consensus baina ya...
  13. TANGA VS LAMU: VITA YA REFINERY NI VITA YA CORRIDOR YA AFRIKA MASHARIKI

    Na: Dr. Zack, Mtaalam wa Masuala ya Uchumi Duniani 01.10.2026 Kuzinduliwa kwa mradi wa Dangote wa US$16 bilioni huko Lamu, Kenya, jana si habari ndogo kwa Afrika Mashariki. Refinery hiyo imepangwa kuwa na uwezo wa kuchakata mapipa 700,000 ya mafuta kwa siku, ikiambatana na mtambo wa umeme wa MW...
  14. Bandari ya Dar es Salaam Kinara Afrika Mashariki Yaipiku Mombasa kwa Ufanisi Duniani!

    Bandari ya Dar es Salaam imefankiwa kuwa kinara Afrika Mashariki ikiipita rasmi Bandari ya Mombasa ya nchini Kenya katika viwango vipya vya ufanisi wa makontena duniani. Kulingana na ripoti mpya ya Benki ya Dunia (Container Port Performance Index), lango hili kuu la bahari la Tanzania limepiga...
  15. H

    Waziri Kombo asisitiza ushiriki wa wanawake katika amani ya maziwa makuu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesema ushiriki wa wanawake katika michakato ya amani ni muhimu katika kupata suluhisho endelevu kwa changamoto za usalama katika eneo la Maziwa Makuu, hususan Mashariki mwa Jamhuri ya...
  16. Kilimo: Tanzania Yalenga Kuwa Ghala la Afrika Mashariki

    Tanzania inaendelea kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara, ikiwemo mbaazi, pamoja na kuendeleza ufugaji wa nyuki na matumizi ya Akili Mnemba (AI) katika kilimo. Hatua hizi zinalenga kuongeza tija kwa wakulima, kuboresha upatikanaji wa masoko, kuongeza...
  17. H

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kw

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania, pamoja na Wawakilishi wa Mashiriki na Taasisi za Kimataifa nchini...
  18. Raia 134 wa Burundi wamekamatwa Tanzania huku mvutano wa uhamiaji ukizidi kushika kasi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki. Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara zimesema raia hao wa Burundi walikamatwa wakati wa operesheni iliyolenga watu wanaoishi...
  19. Utajiri wa Musk: Miaka 14 ya Bajeti za Afrika Mashariki

    Takwimu mpya zinashtua na kuumiza kichwa kwa pamoja: Utajiri wa Dola Trilioni 1 ($1,000,000,000,000) wa Elon Musk unaweza kuendesha bajeti zote za Tanzania, Kenya, na Uganda kwa miaka 14 mfululizo! Yaani mtu mmoja ana hela ya kulisha, kuhudumia, na kuendesha nchi tatu nzima za Afrika Mashariki...
  20. DAWASA: Mradi wa Usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka umefikia Asilimia 88

    Mradi wa kwanza wa kisasa na usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka Mbezi Beach unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) umefikia asilimia 88 ya utekelezaji wake huku ukitajwa kunufaisha kaya takribani 11,000 katika Wilaya ya Kinondoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…