africa

  1. A

    JamiiForums Tanzania Gari za kununua South Africa zimetembea Kms sio poa!

    Hizi gari za kununua South Africa MAKABURU na WAZULU wameshazitembelea kilometres za kutosha mpaka sio poa. Kukuta gari imetembea 400,000 kms huko sio jambo geni sijui jamaa wanaendesha kwenda wapi? Ukinunua sawa ila tahadhari ndio hiyo.
  2. U

    JamiiForums Tanzania China put resources into science, innovation support in Africa

    During the previous 10 years, China has seen the jump forward of science and innovation (S&T), the fast improvement of sci-tech advancement capacity, and the unmistakable job that S&T plays underway.<br><br> China has been positioned eleventh among the 132 economies highlighted in the 2022...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Russia's monetary issues 'could hamper science manages Africa'

    Aspiration is there yet assets may not be, African scholastics caution in front of highest point.<br><br> African scholastics have cautioned that Russia's desolated economy might battle to satisfy any science and innovation coordinated effort arrangements the nation goes into with Africa at a...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi zenye uchumi imara Africa 2023

    Top 10 largest economies on the continent 2023 1)- Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ - $477 Billion 2)- Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ - $477 Billion 3)- South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦- $406 Billion 4)- Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ - $192 Billion 5)- Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ - $134 Billion 6)- Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή - $127 Billion 7)- Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ - $113 Billion 8)- Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ - $107...
  5. JamiiForums Tanzania Referring to the theories of peopling of West Africa, Analyze how the peoples were classified

    DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION RAMADHANI BARAKA SHALA Email: barakashala551@gmail.com WhatsApp No: +255762301305 Question: Referring to the theories of peopling of West Africa, Analyze how the peoples were classified. The history of West Africa can be divided into five major...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Simba Kuanzia Round ya pili Ligi ya Mabingwa Africa

    Timu kumi [10] zitakazoanzia 2nd Round yani hatua ya mwisho kwenda Makundi CAFCL 2023/24. 1. Al Ahly SC πŸ‡ͺπŸ‡¬ 2. Wydad AC πŸ‡²πŸ‡¦ 3. Esperance πŸ‡ΉπŸ‡³ 4. Mamelodi Sundowns πŸ‡ΏπŸ‡¦ 5. Simba SCπŸ‡ΉπŸ‡Ώ 6. Petro πŸ‡¦πŸ‡΄ 7. Tp MazembeπŸ‡¨πŸ‡© 8. Enyimba πŸ‡³πŸ‡¬ 9. CR Belouizdad πŸ‡©πŸ‡Ώ 10. Pyramid FC πŸ‡ͺπŸ‡¬
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania unaweza kusema uongo hadharani na usiwajibike popote. Sheria ya kulinda maadili itungwe

    Toka sakata la Bandari lianze nimepitia na kusoma sheria nyingi sana. Nikasoma na sheria mbalimbli za nchi nyingine. Nikagundua nchi haina sheria ya Uongo na upotoshaji wa umma. Kwa nchi ya Tanzania unaweza kwenye vyombo vya habari ukasema uongo tu ambao si wa kichochezi na usiwajibike popote...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

    Dah , sio poa! Nipo hapa nafuatilia BBC London habari... Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa. Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo? --- Nchi tano za Afrika: Botswana, Eswatini, Rwanda, Tanzania na Zimbabwe tayari zimefikia malengo ya kimataifa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Msanii Bora wa Amapiano East Africa Chino Wan Man

    Mwamba kajitafuta Chino Kidd katika ubora wake, Amapiano Tanzania to Kimataifa (International).
  10. F

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya kwanza kabisa ya malaria inasambazwa Afrika. Nchi 12 za kwanza kupatiwa

    Kati ya nchi za kwanza kabisa ulimwenguni kupata chanjo hii ya malaria ya kwanza kabisa duniani ni Kenya, Rwanda na Burundi. Watanzania tusibaki nyuma katika hili. 18 million doses of first-ever malaria vaccine allocated to 12 African countries for 2023–2025: Gavi, WHO and UNICEF World Health...
  11. JamiiForums Tanzania June Holliday Nostalgia: A Night in Konka Sowetto Nightclub, South Africa

    Natumai mko vyema ndani ya hili jukwa pendwa la Jamii Forums. Ngoja niende moja kwa moja kwenye shina la huu uzii. Chapter 1 Namibia. Toka mwaka uanze nilikua nimebanwa sana na majukumu ya utafutaji ukizingatia sisi tuliochukua njia za kujiajiri huwa tunapitia mengi sana wakati mwengine...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Africa Magufuli And Change

    Lilongwe - Malawi. Nakala ya Kwanza ya Kitabu Kipya Cha Hayati Rais Magufuli Kama kilivyoandikwa na Profesa wa Chuo kikuu Cha Hebron Nchini Malawi Prof Malango Chinthenga kimeuzwa kwa USD 600 sawa na Tsh 1,450,000/= kwa Mwananchi wa Kawaida wa Malawi ambaye alijitokeza katika Uzinduzi wa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ukandamizaji wa matumizi ya vitu vya asili na wakoloni

    Kabla ya mkoloni, kila kitu kilicho juu ya ardhi na chini ya ardhi kilikua kinatumika bila woga wala kificho. Alipokuja mkoloni akavikataza, kwasababu.: Aliviitaji kwa kazi zake za viwandani huko kwao. Sababu nyingne ni vitu hivi vilikua vikitumiwa na waafrika katika mambo mengi kama dawa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni aeleza jinsi NATO ilivyowapiga mkwara marais wa Africa wasiende Libya kutafuta suluhu kipindi cha vita ya Libya

    Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya lakini NATO ikawaambie wageuze hakuna kuingia Libya. Hii video ilikuwa ni kama imefichwa hivi kwa miaka...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazoongoza kufanya mapenzi

    Top 10 sexually active African countries 1)- Burkina FasoπŸ‡§πŸ‡« 2)- Cameroon πŸ‡¨πŸ‡² 3)- Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ 4)- Gabon πŸ‡¬πŸ‡¦ 5)- Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² 6)- Senegal πŸ‡ΈπŸ‡³ 7)-Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ 8)-Sao Tome Principe πŸ‡ΈπŸ‡Ή 9)-Republic of Congo πŸ‡¨πŸ‡¬ 10)-Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Source: Top 10 sexually active African countries
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

    Kwenye kiwanda cha Hiphop Tumekuwa tukishuhudia vipaji vingi na uandishi mzuri wa mashairi. Kuanzia kizazi Cha kina Tupac, rakims, jada, Jay z, eminem, Wayne na hata N.big. πŸ‘‰Ambao wamekuwa wakitajwa Kama mafundi wa mashairi ya mazuri. Lakini Leo nimeona tuangazie je ni Wana hip hop gani wame...
  17. JamiiForums Tanzania Dealing with Ignorance and Colonized Mind in Africa

    Sitii neno.
  18. JamiiForums Tanzania African unicorns: 9 most valuable startups in Africa you should know

    A unicorn is a privately held startup company with a valuation of over $1 billion. The term was first popularized by venture capitalist Aileen Lee in 2013. Unicorns are very rare, and there are only a few hundred of them in the world. To become a unicorn, a company must have a number of things...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

    Habari za leo waungwana. Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Imaging Africa kitendo chenu cha kukata miti usiku Bamaga Mwenge ni cha kihuni, na ni uharibifu wa mazingira, hakikubaliki

    Kampuni ya matangazo ya Imaging Africa usiku wa jumamosi tarehe 24.06.2023 walifanya uharibifu mkubwa wa kimazingira kwa kukata miti iliyooteshwa pembezoni mwa barabara. Imaging Africa imefyeka miti hiyo ambayo hawakushiriki kuiotesha wala kuitunza. Wamefyeka miti ili ubao wao wa matangazo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…