africa

  1. JamiiForums Tanzania Hakuna nchi nzuri na rahisi kutafuta maisha na kupata hela kama Afrika Kusini

    Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa. Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution. Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala...
  2. JamiiForums Tanzania Neno "kimoja cha nguruwe" lafanya kipindi cha Kipenga Extra East Africa Tv kifutwe mchana huu

    Wakuu habari za mchana? Nikiwa nime tune tv kufuatilia kipindi changu pendwa cha sports cha kipenga extra ni shtushwa na neno Kimoja cha nguruwe likitamkwa na mgeni Mjata Mjata shabiki kindaki ndaki wa Makolo wakiwa wanaongolea matokeo ya Man United. Naona imebidi kipindi kifutwe kabisa saizi...
  3. JamiiForums Tanzania Nigeria: Wabunge wagoma kununua magari yaliyotengenezwa nchini humo

    Wabunge nchini Nigeria wanatarajia kutumia zaidi ya 38m$ ambapo kila mmoja Kati ya wabunge 466 atatumia zaidi ya 400m za kitanzania kuagiza gari aina ya Toyota SUV Pendekezo la kununua magari ambayo ni home made lilitupiliwa mbali na wabunge hao wakidai hayaendani na hali ya barabara nchini...
  4. JamiiForums Tanzania Mr Beast ajenga visima 100 vya maji barani Afrika

    Kwa project hii ataweza kunywesha maji watu takribani laki tano. Nchi alizozigusa ni Kenya, Zimbabwe, Uganda, Somalia na Cameroon Kwa msiemjua Mr beast, ni youtuber ambae kipato chake huki wekeza katika michezo ya kusaidia watu kifedha na projects za kusaidia jamii. Hongera kwake...
  5. JamiiForums Tanzania How President Magufuli Transformed Tanzania's Roads into the Best in East Africa - The Architect of Tanzania Highways

    John Magufuli, the late president of Tanzania, played a key role in making sure that Tanzania has the best roads in East Africa. He made road construction and maintenance a top priority of his government, and he also implemented a number of policies that helped to improve the country's road...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazungu walileta dini Afrika?

    Historia ya standard five inaanza kwa kasi sana hapo tunaambiwa wakati wazungu wanataka ku colonize Africa walituma maagent watatu wakiwemo. EXPLORERS, MISSIONARIES NA TRADERS. Lengo la explorers kuja kupeleleza jinsi Africa ilivyo ili wakirudi wawape taarifa juu ya mambo waliyoona yanafaa...
  7. JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

    Haijakamilika Mpaka ikamilike. Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki. Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa. Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba ya Tanzania. Ikumbukwe kwenye 1st Leg Iliyopigwa Dar es Salaam 20.10.2023. Timu hizi zilitoka sare...
  8. JamiiForums Tanzania Waafria tuamkeni kifikra

    Muafrika anaabudu Mungu kutoka arabuni na Middle East, hivi Mungu ana upendeleo kiasi hiko ashukie arabuni na Middle East pekee? Wazee wetu walipokuwa wakitoa kafara ya wanyama wageni wakawaambia huo ni uchawi na ni dhambi, lakini kwenye biblia agano la kale kafara zilikuwa zinatolewa na...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati waki pretend neutrality, practically Urusi na China wapo pamoja na Israel. Somo kwa Afrika

    Urusi na China,nchi superpowers ambazo zinatajwa kuwa kimbilio kwa nchi zinazoteseka chini ya imperialism ya Western countries practically wapo pamoja na Israel. wote wanakubali existence ya Israel kitu ambacho Palestine hawakitambui na ni haram kwao. And I guess that is why they are fighting...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania's Ambitious Export Plans, eyes East and central Africa

    Africa is a continent with vast energy potential, and as the world increasingly shifts towards sustainable energy sources, the spotlight is on African nations to harness this potential for economic growth and regional stability. Tanzania, with its rich energy resources, is eyeing the opportunity...
  11. JamiiForums Tanzania CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

    Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
  12. JamiiForums Tanzania Unazijua faida za kuandaa AFCON? Tuanze kuzimulika hizi, nawe unaweza kuongezea hapo chini

    Nimefikiri Kwa kina sana na kuona Tanzania inaweza kupata faida kadhaa kutokana na kuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON): 1. Kukuza Uchumi wetu: Kuandaa AFCON kunaweza kusababisha kuongezeka kwa utalii, maendeleo ya miundombinu, na fursa za ajira, zinazoweza kuinua uchumi wa Tanzania even...
  13. JamiiForums Tanzania The Cost of Mobile Internet In Africa

  14. JamiiForums Tanzania EAC-EU develop joint roadmap to foster digital transformation in East Africa

    The East African Community (EAC) and the European Union (EU) have today kicked off the 1st EU-EAC Regional Conference on Digital Transformation in the East African Community, in Arusha, Tanzania. Both sides committed and agreed to foster a human-centric digital transformation in East Africa to...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Vyombo Vya Utangazaji Africa linafanyika Zanzibar

    Dk Rioba ataja fursa kongamano la mashirika ya utangazaji ya umma Dhima la kongamano ni vyombo vya utangazaji vya umma kwenda na mabadiliko ya kidijitali na TEHAMA ili viende na wakati au la vitaishia makumbusho kuwa vilikuwepo. Huku vyombo vinavyokumbatia mabadiliko ya teknolojia vikizidi...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika ndiyo bara lenye Wakristo wengi, viongozi wa kikristo watokee Afrika na Makao Makuu yahamie Afrika, ukristo umeshuka Ulaya, Waisrael hawautaki

    Waislam wengi ni waarabu, viongozi na makao makuu yapo uarabuni. Wahindu wengu ni wahindi, Viongozi na makao makuu yapo India. Ajabu ni kwamba wakristo wengi ni sisi waafrika lakini viongozi na makao makuu yapo ulaya. Ulaya imeshakuwa kawaida makanisa yanakuwa matupu kabisa, si ajabu kusikia...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Nchi kumi za Afrika zinazoongoza kwa mitara (ndoa za wake wengi)

    Wanaume wa western Africa pengine ni wanaume zaidi ya wale wa southern, northern na eastern Africa kwani kwenye hii list 1-10 ya wenye mitara wanatoka nchi za Africa magharibi. 1. Burkina Faso: 36% 2. Mali: 34% 3. Gambia: 30% 4. Niger: 29% 5. Nigeria: 28% 6. Guinea:26% 7. Guinea-Bissau:23% 8...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi 10 Africa zenye Gharama ndogo za data/MB

    Top 10 African countries with the cheapest data prices from June to September 1)- Malawi 🇲🇼 $0.38(29th) 2)- Nigeria 🇳🇬 $0.39(31st) 3)- Ghana 🇬🇭 $0.40 (33rd) 4)- Somalia 🇸🇴 $0.50 (45th) 5)- Democratic Republic of Congo 🇨🇩 $0.52 (49th) 6)- Rwanda 🇷🇼 $0.55(52nd) 8)- Kenya 🇰🇪 $0.59(57th)...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa rasilimali na wawekezaji wa kigeni unachangia mapinduzi Africa. DP World utakuwa mfupa mgumu kwa Rais Samia na CCM yake

    Wakati wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa walipozungumza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki iliyopita, baadhi ya Viongozi wa Afrika hawakuweza kuhudhuria, baada ya kuondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi. Mataifa haya hayashiriki mambo mengi yanayofanana nje ya...
  20. JamiiForums Tanzania Jarida la Africa Events Kutoka Maktaba Lipo Katika Kavazi la Dr. Salim Ahmed Salim

    JARIDA LA AFRICA EVENTS KUTOKA MAKTABA LIPO KATIKA KAVAZI LA DR. SALIM AHMED SALIM Hiki kisa nimepata kukieleza siku za nyuma na hivi karibuni nilipokuwa naandika kuhusu uzinduzi wa Kavazi la Dr. Salim. Mke wangu alikuwa katika Tume ya Warioba ya Katiba pamoja na Dr. Salim Ahmed Salim. Siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…