Afisa wa mawasiliano katika ofisi ya Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, Amos Boaz Masika, anapokea matibabu katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali moja mjini Eldoret baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha usiku wa Jumatatu, Novemba 16, 2026.
Kwa mujibu wa taarifa za...