Mtaalamu wa teknolojia nchini Kenya, Eliud Gilisho, amebuni mfumo mpya unaoitwa Afande, unaolenga kukabiliana na wizi wa simu kwa kuwezesha simu iliyoibwa kupiga kelele, kufuatilia eneo ilipo na kurekodi picha za video zinazoweza kusaidia kumtambua mwizi.
Ubunifu huo umetokana na tukio la mwaka...