adhabu

Neno "adhabu" katika Kiswahili linamaanisha pigo, mateso, au malipo anayopewa mtu kutokana na kosa alilofanya au kwa kuvunja sheria. Kwa lugha ya Kiingereza, lina maana ya punishment, penalty, au sentence.

Hili neno hutumika katika mazingira mbalimbali, kuanzia ngazi ya familia, shuleni, hadi kwenye masuala ya kisheria. Hapa kuna mifano ya matumizi yake:

1. Kwenye Sheria na Mahakama (Legal Penalties)​

Mtu anapovunja sheria za nchi na kupatikana na hatia mahakamani, hupewa adhabu.

  • Adhabu ya kifo (Death penalty / Capital punishment).
  • Adhabu ya kifungo (Prison sentence).
  • Adhabu ya faini (Financial penalty / Fine)

2. Shuleni na Nyumbani (Disciplinary Actions)​

Hatua zinazochukuliwa dhidi ya mwanafunzi au mtoto ili kumfundisha nidhamu anapokosea.
  • Kupewa adhabu: Mfano, "Mwalimu amewapa wanafunzi adhabu ya kufyeka nyasi kwa kuchelewa shule."
  • Kutumikia adhabu: Kufanya lile jambo uliloagizwa kama malipo ya kosa lako.
  1. Je, anayejihusha kimapenzi na mwanafunzi adhabu yake ni sawa na aliyempa mimba mwanafunzi?

    Mtu akiwa na mahusiano na mwanafunzi na wakashiriki ngono bila kutokea mimba je adhabu yake inakuaje? Maana kesi zote nilizoskia adhabu ya miaka 30 inatolewa pale tu binti anapopata mimba , je asipopata mimba ila ikathibitima kufanya ngono inakuaje?
  2. Qatar yabadili adhabu ya kifo ya Maafisa wa zamani wa Jeshi la India waliotuhmiwa kwa kufanya ujasusi

    Mahakama Nchini Qatar imebadili hukumu ya adhabu ya kifo kwa Maafisa 8 za wamani wa Jeshi la Maji la India ambao walikuwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Al Dahra baada ya kukutwa na hatia ya kufanya ujasusi. Wizara ya Mambo ya Nje ya India imesema adhabu imepunguzwa lakini haijfafanua imepunguzwa...
  3. Napinga Masheikh sita wa Kiislamu kupewa adhabu ya kunyongwa hadi kufa

    Nimepita pale mahakamani jana nikamuona yule mama Analia,nikauliza,"Huyu analia nini?". Najua jambo kama lile siyo ajabu, lakini bado nikauliza,"Huyu analia nini?" Nikaambiwa,unajua, hii ni mahakama na yule mama ukimuona analia, basi, labda itakuwa mtoto wake amehukumiwa kifungo. Wakamwambia...
  4. Yanga yafutiwa adhabu ya kutosajili baada ya kumlipa Bigirimana

    Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wake Gael Bigirimana. Awali mchezaji huyo alifungua kesi FIFA dhidi ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya NBC kwa kushindwa kumlipa baada ya...
  5. Hatimae Simba SC yaondolewa adhabu ya Kusajili na FIFA

  6. Mbunge Abood alaani vikali ukatili uliofanywa dhidi ya mama mjasiliamali

    MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI ALAANI VIKALI UKATILI ULIOFANYWA DHIDI YA MAMA MJASILIAMALI. Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini mapema hii leo amefika wodini Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro alipolazwa Mama Bi Aziza Juma Mjasiliamali ndogondogo mara baada ya...
  7. Mwanamke huyu asaidiwe, Mahakama imtendee haki

    Wote tunakubaliana kuwa ujangili ni mbaya, na ni kosa la jinai; na kwamba sawa kuadhibiwa kisheria! Na tunazo sheria za Uhifadhi wa Wanyamapori zinazotumika kulinda Wanyamapori Na. 5 ya mwaka 2009 na sheria Na. 383 kama zilivyorekebishwa 2023 zinazotuhusu watu wote; wananchi, na wageni pia...
  8. Adhabu kwa mzinzi katika jamii ya Kisukuma

    Sijui hii ilitokea wapi hasa. Ila jamaa wanaongea Kisukuma. Hivyo huenda ni huko Usukumani. Ni adhabu ya kipumbavu sana. Kama shida ni uzinzi, walioshiriki ni wawili [kikawaida]. Sasa iweje adhabu apate mmoja tu? Halafu huyo ‘mzinzi’ naye ni bwege tu. Ni bora kufa unapigania heshima yako...
  9. Wabunge 168 wakubali adhabu ya kifo kwa wezi - majimboni kwenu mmewatuma kazi wabunge hao?

    Wanabodi, Salaam! Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi. Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania...
  10. Feitoto na Mudathir wamecheza mechi za jana, wamefutiwa adhabu ya kufungiwa mechi 3 ?

    Siku ya jana Azam imecheza dhidi ya Namungo, Fei alikuwemo kwenye kikosi. Yanga dhidi ya Singida, Mudathir alikuwemo kwenye kikosi. Mudathir na Fei walipewq adhabu ya kufungiwa mechi tatu baada ya tukio la wao kuchelewa kuingia uwanjani. Adhabu ipo ?
  11. Momba: Kila Familia/Vijana ni lazima kulima Korosho na Ufuta

    Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imetoa onyo na tahadhari kwa Vijana ambao watashindwa kulima kilimo cha korosho na ufuta kwamba watakamatwa na Serikali za Vijiji vyao na watapewa adhabu ya kwenda kulima kwenye mashamba ya wenzao waliolima ufuta na korosho, bila kulipwa chochote...
  12. Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

    Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake. Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla. Je dunia inampenda baba bora/mume bora? The evidence says NO. Experience inaonyesha kwamba mwanaume ukijaribu...
  13. Waziri Pindi Chana: Tunafanyia kazi ushauri wa Wadau kuhusu mabadiliko ya Adhabu ya Kifo

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi maoni ya baadhi ya Wadau kuhusu kuondoa adhabu ya kifo. Akizungumza Oktoba 10, 2023 kwenye Kongamano la kujali adhabu ya kifo lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na wadau...
  14. Mjadala kupinga adhabu ya kifo nchini. TLS yajali utu, yaonesha njia. Adhabu hii ifutwe

    Wanabodi, https://www.youtube.com/live/clOESBBmMmI?si=WZKqn4KF5vTxrtGR Leo Tarehe 10 October ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo. Niko hapa jengo la Wakili House kuwaletea live mjadala kuipinga adhabu ya kifo nchini, ulioandaliwa na Chama cha Mawakili Tanganyika, TLS. Kiukweli TLS...
  15. Adhabu ya kifo kwa Muhammad Mursa iliyozua simanzi

    Umewahi kuona muuaji ambaye polisi wanamlilia, wanahabari wanalia, watu wanakusanyika wakimuombea msamaha, na nchi nzima inalia, lakini pamoja na yote hayo hukumu ya kifo ikatekelezwa? Tukio hili la kusikitisha sana la mauaji ya kukatwa kichwa kwa upanga lililotekelezwa tarehe 20 Septemba mwaka...
  16. Mahakama ya Afrika yaiamuru Tanzania kufuta Adhabu ya Viboko

    (Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela Mapema akiwachapa viboko wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe) Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya viboko kwenye sheria zake ili ziendane na Mkataba ulioanzisha mahakama...
  17. Nimegundua leo: Baadhi ya mikataba mibovu huingiwa kwa makusudi ili tukalipe mahakama ya ICSID, hili la DP World adhabu itakuwa ni bwawa la Nyerere

    kuna kila dalili kwamba mikataba mingi mibovu huwa inaingiwa sio kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi kabisa, ili akija Rais mwingine au wananchi wakapiga sana kelele, basi mkataba unavunjwa halafu tunapelekwa ICSID. Kule sasa wanatumwa magoigoi au vibaraka kama akina mkono enzi zike, tunalimwa...
  18. SI KWELI China imepitisha Sheria ya kuwanyonga wanaojihusisha na mapenzi ya jinsi moja

    Inasemekana huko mitandaoni kuwa Serikali ya China imepitisha Sheria ya kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja(ushoga), na Adhabu kali kwa yeyote atakaye jihusisha na na Mapenzi ya Jinsia Moja ndani ya nchi hiyo.
  19. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu yapinga Adhabu ya Kifo kuendelea kutolewa Tanzania

    Kwa mara nyingine Tena, Mahakama ya Africa ya Haki za Binaadamu (African Union Court of Human and People's Rights) imetoa tamko juu ya adhabu ya kifo iliyopo kwenye sheria za makosa ya jinai ya Tanzania. Tamko hili limetolewa June 2023 wakati wakifanya mapitio ya kesi ya Bwana Thomas Mwingira...
  20. UHAINI: Tafsiri sahihi ya kosa na adhabu yake kwa mujibu wa Sheria za Tanzania

    Uhaini ni kosa la jinai, kwa tafsiri nyepesi ina maana kwamba ni kosa kubwa ambalo mtu analifanya dhidi ya nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti, mfano wa watu wasaliti wanaojulikana duniani ni Yuda ambaye kidini alimsaliti Yesu, mwingine ni Benedict Anold huyu jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…