abiria wa sgr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Abiria wa SGR Dar -Moro, Moro Dar ni wengi sana, wanasababisha kukosekana kwa nafasi za moja kwa moja

    Ukikata ticket ya SGR siku moja kabla mf. Dodoma Dar, treni zote unakuta No seat available, ila ukijaribu Dodoma- Moro unakuta siti kibao wazi. Abiria wa Morogoro ni wengi sana. Nashauri waongezewe treni zao za kuishia Moro ili tusikose nafasi za moja kwa moja kwenda Dar na kumbe wanaojaza...
  2. Kwanini abiria wa SGR wakose huduma ya internet wakati wa safari?

    Ni Jambo la kushangaza kwamba licha ya maendeleo ya teknolojia na uwepo wa fibers bado abiria wa SGR wanakosa mtandao ndani ya train wakiwa safarini. Hili ni Jambo la kushangaza na linapaswa kufanyiwa kazi Kwa haraka Sana. Yaani watu tushindwe Fanya biashara zetu kisa tupo kwenye SGR hapana...
  3. T

    Kwa nini tusiwe na safari za ziada za SGR kwa siku zenye abiria wengi?

    Wanajukwaa, Sote tunafahamu kwa nchi yetu na maeneo mengi haoa ulimwenguni, ikifikia kipindi cha sikukuu au likizo za wanafunzi abiria wanakuwa wengi kupita kiasi. Lengo la uwepo wa usafiri wa uhakika umma ni kuhakikisha watanzania wanawahi ratiba zao mbalimbali huko waendako bila kulazimika...
  4. Vioja vya abiria wa treni ya SGR

    Nipongeze awamu zote zilizojikita kwenye wazo na hatimaye kumamilika kwa train ya mwendo kasi ya SGR. Kiukweli ni mapinduzi hasa kwenye nyanja ya usafiri katika maeneo yanayopitiwa na kufukiwa na usafiri huo. sambamba na hilo vipo vioja ambavyo kwa kweli vipekuwa vikiwakumba baadhi ya abiria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…