Pierre Derivery (4 November 1925 โ 24 November 2013) was a French sprint canoer who competed from the early 1950s to the early 1960s. Competing in two Summer Olympics, he earned his best finish of tenth in the K-1 10000 m event at Helsinki in 1952.
๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐ ๐๐จ๐จ ๐๐ฅ๐๐๐๐ ๐ก๐๐๐๐ก๐ ๐๐๐๐ง๐ข๐๐๐ ๐ ๐๐ฅ๐๐๐๐ก๐
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi nchini Marekani, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug...
๐๐ข๐ง๐ข ๐๐๐ง๐ข๐ฌ๐ ๐๐๐ญ๐จ๐ฅ๐ข๐ค๐ข ๐๐ข๐ญ๐๐๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐ข๐ฌ๐ ๐๐๐ค๐๐ญ๐ข๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ฐ๐๐จ๐ฆ๐๐๐ ๐ง๐ ๐๐ฎ๐ฐ๐๐ค๐ฎ๐ฆ๐๐ฎ๐ค๐ ๐๐๐ญ๐ฎ ๐๐๐ฐ๐ ๐๐๐ฅ๐ข๐จ๐ญ๐๐ฌ๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐๐ฎ๐ฎ๐๐ฐ๐?
Kanisa Katoliki limekuwa na nafasi kubwa katika historia ya dunia.
Limejenga shule, hospitali na taasisi nyingi za huduma. Hata hivyo, historia hiyohiyo inabeba dhulumua kubwa, ambapo...
Hii hapa miradi 15 mikubwa iliyoanzishwa chini ya Awamu ya Sita (tangu Machi 2021):
1. SGR TaboraโKigoma na UvinzaโMusongati (Burundi): Hiki ni kipande cha 6 cha reli ya kisasa. Kinagharimu takriban Sh trilioni 7.5 kwa kilomita 506, na kinatarajiwa kukamilika 2030.
2. SGR MakutuporaโTabora na...
๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐ฌ๐ฎ๐ป๐ดโ๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐๐ณ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐๐๐ฎ๐๐ต๐ถ ๐๐ฎ ๐จ๐ผ๐ป๐ด๐ผ๐๐ถ ๐จ๐๐ฒ๐ธ๐ฒ๐๐ฎ๐ท๐ถ ๐ฆ๐ฒ๐ธ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ท๐ถ ๐ป๐ฎ ๐๐บ๐ฎ๐ป๐ถ
Tanzania imengโara katika umoja wa Mataifa Afrika kwa utashi wa Uongozi katika Uwekezaji kwenye Sekta ya Maji chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye kupitia...
Tanzania na Angola zimeazimia kuimarisha uhusiano wa kihistoria na kidiplomasia kwa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na kubaini fursa mpya za maendeleo kwa manufaa ya wananchi wa nchi hizo mbili.
Dhamira hiyo imejidhihirisha katika mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mafanikio ya mageuzi ya kilimo yanapaswa kupimwa kwa ongezeko la kipato na ustawi wa wakulima na kuangalia zaidi suala la masoko ya uhakika, bei zenye tija na miundombinu ya kuhifadhi na kuchakata mazao.
โKwa familia za wakulima, kupata mavuno mengi...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania ina fursa nyingi za uwekezaji kwenye kilimo na akawataka wenye mitaji waje kuwekeza Tanzania ambapo wataweza kufikia soko la watu milioni 170 kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
โUwekezaji unaweza kuchangia kutoa huduma za chakula na...
Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐.
Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐ค๐ฑ
Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐.
Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐ค๐ฑ
Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐.
Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐ค๐ฑ
Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
โMafanikio yake yatumika kujadili uwekezaji viwanda madini.
โNi uanzishwaji wa viwanda 24 vya kuchakata madini nchini.
โMsisitizo wake UN, waendelezwa vikao vya mawaziri Ghana.
Katibu Tawala mpya wa Manispaa ya Temeke, Ndg. Ali Said Ali, amesisitiza umuhimu wa uchapakazi na ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya watumishi wa umma ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Ndg. Ali ameyasema hayo leo, Oktoba 20, 2026, baada ya kushiriki kikao cha Kamati ya Kudumu...
๐ข๐๐๐ฆ๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐จ๐ก๐๐ ๐ก๐๐ ๐ง๐จ๐ ๐๐ข - ๐ฅ๐จ๐ฉ๐จ๐ ๐
๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ฅ๐ ๐๐๐๐๐ง๐ข ๐๐๐ ๐ก๐ก๐
Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera anawatakia mtihani mwema wa kitaifa wanafunzi wote wa kidato cha nne unaotegemea kuanza tarehe 19 Oktoba hadi 06 Novemba 2026.
๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐๐ข๐ ๐๐ข ๐๐ฃ๐ข๐๐๐ ๐ก๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐๐๐ง๐ ๐ญ๐ ๐จ๐ง๐๐ ๐๐จ๐๐๐ฆ๐๐ข ๐ญ๐ ๐ ๐๐๐๐๐ข๐ญ๐ ๐ช๐๐ง๐๐จ๐๐ ๐ช๐๐ก๐ก๐
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Waheshimiwa Mabalozi Wateule wanne, wanaowakilisha nchi zao hapa...
๐จ๐๐จ๐ก๐๐จ๐ญ๐ ๐ ๐ฃ๐ฌ๐ ๐ช๐ ๐๐๐ฆ๐ ๐๐ฆ๐๐๐๐ ๐ ๐ก๐๐ญ๐ ๐๐๐ฌ ๐๐จ๐ข๐ก๐๐๐ญ๐ ๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ฆ๐ ๐ก๐๐๐๐ก๐ โ ๐๐๐ง. ๐๐ข๐ ๐๐ฅ๐
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera amesema zoezi la uchimbaji wa visima vitatu vya gesi asilia katika Kitalu cha Mnazi Bay mkoani Mtwara limekamilika kwa mafanikio makubwa, ambapo imegunduliwa gesi...
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Havana, Cuba, umefanya kumbukizi ya miaka 27 tangu kufariki Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza na Baba wa Taifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kumbukizi hiyo ilifanyika katika Uwanja wa Mashujaa wa Afrika uliopo Jijini Havana...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu
Nchemba, ameagiza kukamilishwa haraka kwa uthamini wa maeneo yanayohitajika kwa uwekezaji katika Eneo Maalumu la Kiuchumi la Bagamoyo ili wananchi walipwe fidia na miradi iendelee bila migogoro.
Ametoa maelekezo hayo leo, Ijumaa, Oktoba 16, 2026, alipokagua maendeleo...
๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐ด'๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐๐น๐ด๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฎ
Tanzania imengara nchini Algeria kufuatia kupewa hadhi ya kuwa mgeni wa heshima katika maonesho ya kimataifa ya ujenzi, makaazi na miradi ya miundombinu yalijulikanayo kama Bati-Est Expo 2026, jijini Constantine, Algeria.
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe...
๐๐๐๐ข๐ญ๐ ๐ ๐ง๐๐จ๐๐ ๐ช๐ ๐ ๐๐ฅ๐๐๐๐ก๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐ฆ๐๐ ๐ก๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐๐๐ง๐ ๐ญ๐ ๐จ๐ง๐๐ ๐๐จ๐๐๐ฆ๐๐ข ๐๐ช๐ ๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐๐ข๐ ๐๐ข
Balozi Mteule wa Marekani nchini, Mhe. William Trachman amewasilisha nakala za hati za utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Oktoba...
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐๐ฎ๐น๐บ๐ฎ๐๐ต๐ฎ๐๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐ ๐ท๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ด๐ฎ๐บ๐ผ๐๐ผ
Kunogile Ukae
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
๐ฐ๏ธ 4:00 Asubuhi.
๐ Ijumaa - 16 Oktoba, 2026.
Ratiba ya Ziara
1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA.
2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo.
3. Kuzungumza...
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
jamhuri
jamhuri ya muungano
mkuu
mkuu wa
muungano
mwigulu
mwigulu nchemba
waziri
waziri mkuu
๐ฑ๐ฒ๐ฟ๐ถ๐๐ฒ๐ฟ๐