Recent content by zous

  1. zous

    Mashine za kutotolesha mayai

    na umeme wake unagharimu vip kwa siku mfano hio mashine ndogo ya 30yai na ni kwa mda gani inakua on
  2. zous

    Mashine za kutotolesha mayai

    vip mayai ya kanga unaweza tumia hapo
  3. zous

    Hio nishati safi ambayo Raisi Samia anasifisiwa kupiga hatua ni ipi? Mbona mikaa na kuni zinatumika mno?

    nyie ni wapumbavu na hoja ambazo kwa msomi na mwerevu anaona nyie mnataka ubishani tuh? Asa mkuu Tanzania kubwa hii we tafit yako umefanya kwenye eneo lako ..alafu mkaa na kuni bado zinatumika Kwan kasema havitumiki? ila matumizi ya gesi na umeme kila siku nayo yanaongezeka huoni ndilo jambo la...
  4. zous

    PostGE2025 Hivi kuna sababu na maelezo gani ya msingi kuhalalisha mauaji ya watoto OCT 29?

    unaleta fujo alafu utegemeee huruma..acheni umama wa kulia lia mlijitia mnajua kukichafua sasa mlitakaje? unachoma moto kituo cha polisi alafu uachwe tuh kisa nn
  5. zous

    Waziri Mkuu wa Israel apinga vyama vya waarabu kusingizia kwenye Serikali inayoweza!!!

    hana issue Aachie office watu wamfuate mpk kwake wamalizane nae
  6. zous

    Iran yazindua mji mpya wa Makombola huko Iran!!

    hahahaha kumbe na kariakoo tuna ka andaki chetu ...mwanzo mzuri hatua inayofuata sasa jeshi letu nalo lifanye hivoo maana tumezungukwa na majirani ambao siwaelewi.hasa hawa wakenya
  7. zous

    Wanawake wa Iran waanza mafunzo ya Kijeshi ikiwemo kujilinda dhidi ya vita na Marekani

    safi sanaa lazima nchi iwe tayari kujilinda yenyewe
  8. zous

    Salamu za Boniface Jackob kwenye Mazishi ya Alute Mughwai Zatikisa, Msiba Wageuka Shangwe kwa muda

    kama nyumba kashindwa kujenga nchi ataweza kweli?
  9. zous

    Hiyo inayodaiwa kuwa nyumba ya akina “Lissu”

    kwa hiyo mafisadi ndio waliojenga nyumba nzuri
  10. zous

    Mwanamke Mkenya ahukumiwa Viboko 100 Saudi Arabia baada ya kujifungua nje ya Ndoa

    imepitwa na wakati kwa nchi gani? kila nchi na taratibu zake na sheria zake
  11. zous

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin. Polisi wamdaka na kutoa maelezo haya…

    fatilia nn sasa? unachoambiwa ukielewi we unakaza fuvu tuh na Udini!unafuatilia kitu ukiwa maeneo yako hio takwimu utayopata sio ya nchi nzima wala dunia
  12. zous

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin. Polisi wamdaka na kutoa maelezo haya…

    apewe case ya kubaka tuh sie wananchi hatuna neno hata akifungwa maisha
  13. zous

    Kumbe makamu wa rais yupo mkoa huu

    kwa hiyo ulitaka je?
  14. zous

    Ufaransa yaishutumu Iran kuhusika na shambulizi la mtandao lililoathiri majokofu ya vyakula

    kweli ukisikia vita ya kiuchumi ndio hii
Back
Top Bottom