Recent content by Ziroseventytwo

  1. Ziroseventytwo

    Mwenye Ufahamu/kumbukumbu muhimu kwangu nitatoa asante kwake

    Kuna uzi kwa ajili ya choir. Upo kule jukwaa la intertiment. Kacheck
  2. Ziroseventytwo

    TANZIA MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    Pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki. Pole kwa jf. R.I.P
  3. Ziroseventytwo

    Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Nilivyomwelewa jamaa mleta huu uzi ni kuna haja gani ya kutumia simu ya gharama kubwa wakati ukiwa na simu ya kawaida ya kuanzia 500k-600k unapata mahitaji yote ambayo mwenye iphone 17 anapata? Mimi namuunga mkono. Kwa kweli mimi nimefunga ndoa na brand ya Samsung. Nachoangali mimi. 1. Storage...
  4. Ziroseventytwo

    Somo toka kashifa ya kampuni ya NVIDEA

    Mbona kateuliwa kuongoza kampuni nyingine. Tena ya kiteknolojia ksna hiyo aliyo resign?
  5. Ziroseventytwo

    Kati ya CCM na CHADEMA nani wanalilia uwepo wa maridhiano, kwanini?

    Akili zako hazitofautiani na za shekhe Mwaipopo.
  6. Ziroseventytwo

    Serikali ya CCM, imewakumbatia Wachina. Huyu Operator, Mzazi wake amefariki mwezi ulopita kwa kukoswa Pesa ya Matibabu!

    Hasira hasara. Hili tukio litamgharimu sana. Hata kama alikuwa akidai stahiki zake. Maamuzi aliyochukua ni ya kisengerema sana.
  7. Ziroseventytwo

    Yote yanayotokea ni mpango alioupanga Lissu?

    Kwani kuwa na viongozi ndio kujustify uchaguzi? Uchaguzi wa serekali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2019 wewe unaweza kuuelezeaje? Lakini viongozi si walipatikana? Acha kuwa kama sio bwege.
  8. Ziroseventytwo

    Mnao furahia Lissu Kufungwa naomba mnijibu

    Kuna fala m1 leo alikuwa akifurahi balaa. Nilipomuuliza kufungwa kwa Lisu miaka minne gerezani kwake yeye kitaongezeka kitu gani? Akanijibu. Chadema walifurahia kifo cha Magufuli. Kuna kitu kiliongezeka? Nikaishiwa pozi.
  9. Ziroseventytwo

    PostGE2025 Balile: Lissu alifanya uchochezi

    HIki cheo cha Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Bwana Balile anatamba nacho sana. Hivi ni wahariri wa kitu gani? Magazeti? Au wahariri wa vyombo gani haswa? Kama ni Magazeti alie tu. Wasoma magazeti wamepungua kwa 85%. Kwa sasa watu tunapata habari na taarifa kupitia social media. Hiko cheo chake...
  10. Ziroseventytwo

    Yote yanayotokea ni mpango alioupanga Lissu?

    Kusema kwamba uchaguzi ulifanyika, imefanya makala yako yote ionekane ni takataka. Uchaguzi haukufanyika. Hili lipo wazi kama ya Mbuzi. Wananchi hawakutoka kwenda kupiga kura. Baadae, yakafuatia maamndamano/machafuko yaliyopelekea mauwaji ya maelfu ya watu. Tuliona baadhi ya maeneo maboksj na...
  11. Ziroseventytwo

    Ianzishwe movement ya kuzikataa mahakama zetu. Yawekwe madudu yote wsliyofanya kwa kunyima watu haki zao.

    Sijui itapewa jina gani. Lakini ionyeshe kwa uwazi jinsi mahakama zetu zinavyopindisha sheria. Ziwekwe video, refference za cases mbalimbali jinsi mahakama zinavyochezewa na hii serekali. Nukuu kama za Rostam alivyokuwa akielezea mfumonwetu wa mahakama ulivyo mbovu.
  12. Ziroseventytwo

    PostGE2025 Hakutakuwa na Uchaguzi tena Tanzania kama TISS hawataamka

    Kwani nchi si inaendeshwa kwa mujibu wa katiba na sheria? Na si kuna taasisi nyingi tu zinajiendesha kwa mujibu wa katiba na sheria. Sheria ndio zitaongoza nchi. Viongozi kazi yao ni kusimamia. Na hili ccm na serejali yake wameshindwa kwa zaidi ya miaka 60+
  13. Ziroseventytwo

    DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    27m kwa kampuni za betting mbona nii za kawaida sana. Mimi mashaka yangu ni aina ya kampuni aliyotumia jamaa. Pigabet. Hii itakuwa ni kampuni uchwara kabisa, ambaya siamini kama ina wateja wengi kama betpawa na sportybet kwa sasa. Hivyo hii 27m kwao ni nyingi.
  14. Ziroseventytwo

    KUTOKA UHAINI HADI UCHOCHEZI: Uchambuzi wa Kisheria na Kisiasa wa Hukumu ya Tundu Lissu na Mustakabali wa Demokrasia Tanzania

    Kijana wa ifoza, kama lisu atakata rufaa, na mahakama ikaipokea. Je atakuwa akitokea gerezani kwenda mahakamani au ndio atapewa dhamana na kuanzia uraiani kwenda mahakamani?
Back
Top Bottom