Recent content by Ziltan

  1. Ziltan

    PICHA: Rais Wa Afrika Kusini Akiwa na Binti Yake Ziara ya Kikazi Italy

    Samia wa mo29, watanganyika hatumhitaji kwa lolote lile.
  2. Ziltan

    Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    Kuna familia moja huku iliwafanyia figisu watoto wa nyumba ndogo: Wakawanyima mashamba na viwanja. Leo nyumba ndogo wameshatoboa na wale wenye urithi wameshauza hadi shamba lenye kaburi. Pia hawa watoto wa nje ya ndoa wanaweza kuwa msaada mkubwa kwenye familia kuliko watoto wa ndani. Tafakari!!
  3. Ziltan

    Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    Hata mimi sisapoti mtt w nje ya ndoa kuvuruga watt wa ndani ya ndoa kwenye mirathi. Ushauri. Mirathi iandikwe ili kuepusha hiyo kadhia.
  4. Ziltan

    Nitaelezea kisaikolojia chanzo na tiba ya Ile hali "mbaya" kimwili na kiakili unayosikia baada ya kuzini

    "2 Samweli 15: Kisha Amnoni akamchukia machukio makuu sana; kwa kuwa machukio aliyomchukia yakawa makuu kuliko yale mapenzi aliyokuwa amempenda kwanza. Amnoni akamwambia, Ondoka, nenda zako" Uzinzi ni tendo la kiroho zaidi" Baada ya Amnoni kufanikisha kumlala umbu lake ambaye hapo awali...
  5. Ziltan

    Hizi chuki za Yericko nyerere zidi ya Lissu aliahidiwa nini?

    Lilitegemea kuendelea kunufaika na kibaraka mbowe, Now CDM ndio ina M/kiti wa ukweli, wale waliokuwa CDM tumbo lzm wateseke sn.
  6. Ziltan

    Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya Sakharov, yenye heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya (EU)

    Anastahili, Watawala Wanaoamini ktk siasa za ubabe, muda wao unahesabika
Back
Top Bottom