Recent content by Ziada Mwana

  1. Ziada Mwana

    Hii ni mbaya na hatari kwa mustakabali wa nchi yetu

    Sasa kwa nini mnakwenda against pipoz pawa? pipo wamesema "CDM NO" bado hamtaki kukubali au mnataka pipoz pawa hiyo iwe ni kwa CCM tu?. tafuteni njia mbadala, pipoz pawa imekula kwenu.
  2. Ziada Mwana

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    Chama kubwa CCM wao wamebadili kidogo tu pale ilipo C wameweka D ikawa CDM. sasa wanaweweseka Baba lao limewapa joto ya jiwe.
  3. Ziada Mwana

    Angelikuwa ni Mh. G Lema amepanda jukwaani na bastola!!

    Waambie hao, Mmasai kumkuta na sime,rungu,kisu ni kawaida. lakini vitu hivyo ukimkuta navyo kibaka wa Mbagala ni lazima ujiulize kama si kumpeleka polisi.
  4. Ziada Mwana

    Bernard Membe haitaki Dodoma

    Sasa hapo unamuataki membe kwa lipi, yeye kasema ukweli uliopo. Dodoma ni ya leo? tangu enzi za muasisi wa Dodoma hakwenda, mwinyi hakwenda,mkapa hakwenda,kikwete hakwenda, sasa akwende nani? Dodoma haikaliki/hailipi labda CDM.
  5. Ziada Mwana

    Pinda akiri polisi wameshindwa kazi!

    DC yupi? huyu wa hijab?
  6. Ziada Mwana

    Pinda akiri polisi wameshindwa kazi!

    Yamesahaulika hayo ndugu yangu, Gongolamboto ile ni "bahati mbaya" hii ya Polisi na sukari ni makusudi. hao wenzetu hawana makusudi hivyo kama watalamba sukari itakuwa ni bahati mbaya tu.
  7. Ziada Mwana

    Pinda akiri polisi wameshindwa kazi!

    Kwa mtaani wanatisha, sijui huko kwenye sukari kama wataendelea kutisha.
  8. Ziada Mwana

    Pinda akiri polisi wameshindwa kazi!

    Basi hiyo avata yako ilinitisha kama nini, hoja yenyewe niliyoitoa ni kama vile ninawaponda hao Jeidaba, nilipoona umejibu kabla sijaisoma vizuri niliminimaizi peji. angalao sasa napumua baada ya kuisoma vizuri post yako.
  9. Ziada Mwana

    Pinda akiri polisi wameshindwa kazi!

    Tofauti yenyewe ni kwa wakubwa tu, hawa ndugu zangu na mimi ni kama kawa, familia zenyewe ndo hizi za mjomba na shangazi.
  10. Ziada Mwana

    Mwenyekiti wa CCM na mkakati wa kumdhibiti Dr Slaa

    Kama Migiro ni hazina ya CCM kwa nini wasimtumie, ni kada wa CCM na anayo haki ya kugombea au kuombwa kugombea. ni zao la CCM na tishio kwa wapinzani. bila kujali mass ya wanawake au la. na hapa nimegundua kuwa Migiro anaogopeka basi kwa taarifa huyo ndie mwenyewe.tunajua huko kwenu hakuna...
  11. Ziada Mwana

    Pinda akiri polisi wameshindwa kazi!

    Waacheni waende JW, wale wanakula mawe hawana shida na hivyo vijisenti vya sukari.
  12. Ziada Mwana

    Pinda akiri polisi wameshindwa kazi!

    Kumbe JW ndio hawanaga tamaa ya fedha, heri yao.
  13. Ziada Mwana

    Mtikila: CCM inafanya mafunzo ya wizi wa kura Afrika Mashariki

    Hizo point zote zimejaa chuki na uchochezi,mnakumbuka enzi zile za KANU kule kenya wapinzani muliituhumu kwa ukandamizaji na ukiukwaji wa demokrasia. wakenya wakaandamana,wakaunda umoja wa upinzani na hatimae Kibaki akaingia Ikulu.leo hii Kibaki huyo huyo (mpinzani mwenzenu) amegeuka na kuwa (...
  14. Ziada Mwana

    Malawi tuonesheni mfano

    Kwa mtizamo wako unaona kuwa dhahma ni kwa CCM, jaribu tuone.
  15. Ziada Mwana

    CTV - CHADEMA TV: Karibuni hewani

    Mbona walishatoa akaunti namba ya kuchangia? ni hii. CTV>A/C 026588845871 DCB ltd.
Back
Top Bottom