Recent content by Zhule

  1. Z

    Natamani Vyama vyetu na vya kenya vya Siasa vingekuwa hivi

    Katika kuperuuz nimekutana na hii document inayosomeka hivi Constitution of communist pary of china. Kuna mengi ya kujifunza, hasa sifa za mwanachama, namna ya kuwa mwanachama, imani ya chama, kiapo cha mwanachama na mengine mengi. isome hapa My take: Tungekuwa hivi tungepunguza utitiri wa...
  2. Z

    Itakuaje wabunge wa upinzani wakigomea adhabu zitolewazo bungeni?

    Ngumu kweli kuelewa hoja yako. Mimi sikukupata kabisa
  3. Z

    Huu ni usafiri mpya wa viongozi wa CCM?

    Nipo skeptical. kwa nini sekretarieti ya CCM wameamua kutumia usafiri wa trein? Je ni kwa sababu wanaogopa Ndege MBOVU za ATC isije ikawamaliza wote (CCM) au walitaka kuonyesha watanzania wapo nao pamoja katika madhila ya usafiri hasa wana Kigoma au wanataka huruma ya wananchi baada ya...
  4. Z

    Wana Rorya amkeni na kuukataa umafia wa Lameck Airo

    Darasa la saba 'oyee" ndo kauli mbiu yake na ndo elimu yake. Magendo na ujambazi ndo shughuli zake. Hata ukiwa mgeni huitaji more than two minutes ku-question IQ yake. Kampani zake wote majuha na wababe akina Chuche. Uliza pamoja na pesa zake za magendo/ujambazi, Rorya pale anaurafiki na msomi...
  5. Z

    Are you interested in part time employment?

    you made the post, you should then be aware who bears the tuition costs, Or you conning!!
  6. Z

    Administration Jobs in the Education Sector

    where are the jobs you talking?
  7. Z

    Bajeti ya Kenya yaizidi ya Tanzania kwa $5 billion

    Labda kwa Tanzania bila CCM tunaweza kujilinganisha na nchi yoyote makini kama kenya na siyo hii ya akina, ridhiwani, nape, hussein,nchimbi, malima etc. In genetics, for improvements, when you exhoust gene pool una-out source gene from distant relatives.Hawa uwezo wao wa kufikiria ulishafikia...
  8. Z

    Mawakala wa siasa chafu tanzania - name and shame them

    kibonde ana D moja tu zingine ni F (form Four)
  9. Z

    Dr Slaa na wabunge wawili wakamatwa

    wewe Unaropoka tu. kwani Tanzania, mwanajeshi, TISS au mwenye madaraka ni wewe tu! Hata uwe na jeshi na silaha gani utawekewa no-fly zone kama ya Ghadaffi. Hizo akili duni inakutosha wewe na mkeo tu
  10. Z

    A missing Rwandese student in China.why silence?

    A Rwandese student studying in China has dissappear for more than two weeks. The Chinese Government has remained silence despite the fact that CCTV cameras captured the Taxi the student was on board. It is also known that the Taxi are owned by the Chinese local Governments. Why this silence? Or...
  11. Z

    Kikwete akiimba kimoyomoyo

    well done. keep it up
  12. Z

    Wapemba ni wabaguzi?

    Mdogo wangu anauza viuma chakavu hapa jijini Dar.Mpemba ni miongoni mwa vijana wake wanaopima chuma ofisini kwake. Huyu mpemba alisema, pemba kuna viuma chakavu kibao. mdogo wangu akawapa pesa pamoja na dogo mwingine wa bara wakakusanye viuma kule. Kufika kule mama mtu (mpemba) kakataa katakata...
  13. Z

    BP Oil Saga:...Hooray! at last!

    It is not only about the environment issue that the world was worried about but also the technology at hand that would stop the oil was not available at present.Most countries including chinese scientists admitted the dificulty to stop the oil spills in deep seas. They were following in daily...
Back
Top Bottom