...Halafu ni uongo kusema CCM inakumbatia ufisadi
Na Mwandishi Maalum
KILA anayekuwa na hasira zake ziwe za msingi ama vinginevyo, waandishi wa habari wa nchi hii hivi sasa wamebuni mtindo mpya wa kuandika makala nyingi utadhani wanashindana wakionyeshana uwezo wa "kukishambulia" Chama Cha...
Na Mwandishi Maalum
NIMEFUATILIA kwa siku nyingi sana kelele zinazopigwa na viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kile kinachoitwa kuwa ni "kashfa" ya Richmond na ile ya kuchotwa kwa shilingi bilioni 133 kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki...
Tofauti na hali ilivyokuwa wakati Bob Makani alipokuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kwa miaka mitano kuanzia mwaka 1999 hadi 2004 alipoamua kustaafu, Mwenyekiti wa sasa, Freeman Mbowe ameonyesha jinsi anavyonuka uozo wa Uchagga kwa kukijazia chama hicho Wabunge wa Viti Maalum kutoka...
Na Mwandishi Wetu
WIKI mbili tu baada ya kuanza kwa hatua za mwanzo za uchaguzi mkuu wa ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kampeni za "kuchafuana" majina miongoni mwa wanachama wanaokusudia kugombea Uenyekiti wa Taifa wa jumuiya hiyo muhimu kisiasa nazo zimeanza.
Hatua...
Makamba ni kama Waziri anapokwenda bungeni
Na Zephaniaanjela
KATIBU Mkuu wa CCM, Yussuf Makamba ameingia kwa kishindo katika Jambo Forums. Baadhi ya wachangiaji wakiwemo wachanga na wazoefu wanahoji ubunge wake wakidai hachangii katika vikao vya bunge.
Wanajaribu kuwasadikisha watu ili...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ni mmoja kati ya mafisadi wazoefu hapa nchini. Alianza ufisadi huo miaka mingi iliyopita tangu alipokuwa karani wa mahesabu katika Benki Kuu akiwa chini ya baba mkwe wake, Edwin Mtei aliyekuwa Waziri wa Fedha, wakati huo, kabla hajatimuliwa na Baba wa Taifa...
Dk. Nchimbi hatamalizwa kwa chuki
Na Zephaniaanjela
Kumekuwa na mjadala mkubwa uliojaa kila aina ya fitina, majungu na unafiki mkubwa dhidi ya Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Emmanuel John Nchimbi.
Wazushi wanatumia aina zote za uongo wanaoufahamu ili kuhalalisha...
Irene ana chuki zake mwenyewe kwa Nchimbi
Na Zephaniaanjela
Nimeisoma kwa makini makala ya Mwandishi Irene Mark ya kumtaka Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Dk. Emmanuel Nchimbi atulie kwa vile mwosha hatimaye naye huoshwa.
Katika makala hiyo...

nakubaliana na wewe kabisa, tuwaweke hawa watu na makampuni yao wazi ili watu wawe bayana na swala hili. lakini ndugu zanguni huu si ndio tunouita utandawazi? me naona cha msingi ni sisi watanzania tuamke katika swala zima la utandawazi, maana matapeli wanatumia nafasi hii vizuri, sio...
yaan katika wachangiaji wote, wewe ndio umenifurahisha, ni kweli tuna uchungu na nchi yetu, lakini tusiwe vibaraka wa magazeti ebu tuwe wadadisi binafsi badala ya kuchukua habari kama ilivyo andikwa gazetini.... naungana na hoja yako mwana JF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.