Recent content by Zegreaty

  1. Zegreaty

    Tetesi: Lissu atahukumiwa kufungwa tena baada ya kushinda Rufaa katika kesi ya Uhaini ya Mchongo

    Kwa uwezo wa Mungu tunachokiamini nikua atawastajabisha tena watesi nakupata pigo takatifu kumbuka wale wa mwanzo waliomuonea TAL katika mihimili miwili kati ya mitatu tayari washalamba mchanga sasa hawa mamerudia yale yale mihimili miwili tena kwa Mungu hakuna kuchelewa tupo pale kushuhudia...
  2. Zegreaty

    Nani aliwaruhusu CHADEMA kutumia mazishi ya Alute kama uwanja wa kisiasa?

    Kwani sisiemu mlienda mkafukuzwa? Kina mwamposa wanapowapaga majukwaa mbona wananchi hawaongei
  3. Zegreaty

    Well done Mahakama huru ya Tanzania

    Kwahiyo ile kesi yake ya uchochezi iliyopo Kisutu inakuaje mana mmetoa hukumu nakushitakiwa bila mlalamikaji wala mlalamikiwa kujitetea hiki ni kituko cha karne mmejivua nguo
  4. Zegreaty

    Intelijensia ya Polisi: Ni kwa Usalama wa Wananchi au Operesheni za Kisiasa?

    Haijaona nakung'amua machoko yanafanya sherehe nskupost public kuchafua nchi haijaona nakung'amua upigaji kwenye Afcon
  5. Zegreaty

    Karafuu imekalishwa na alizeti 2026

    Ikawe kweli
  6. Zegreaty

    Kiliba: CHADEMA hata ikishika dola hawajui nini chakufanya

    Qmmk sasa CDM hawajawahi kushika dola yeye anatabiri anadhani nin kuBET
  7. Zegreaty

    Nasra Mohamed (M/kiti UVCCM – Dar): Kiongozi anayewatisha Vijana tutakushugulika naye, hatutakuogopa, upendwe na kila mtu wewe Pesa!

    Usikute mjomba kashagombana na wife royal family anashughulikiwa au? Huu ujasiri wa yuvisisiemu
  8. Zegreaty

    Sakata la Mwabukusi , mahakama kuu yaipiga stop tena kamati ya maadili ya mawakili

    Wanaohubiri wenzo waheshiklmu utawala wa sheria wao ndio wanaukanyaga
  9. Zegreaty

    PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    He Bela wochi hezi bakiiiii Hali ni Mbaaaaaaaaaaya
  10. Zegreaty

    Colonel (rtd) Haruni Ramadhani Kondo : Alama za Anguko la CHADEMA / Signs of CHADEMA's Collapse

    Matapeli tangia muanze unashiri mnaishia kuanguka wenyewe na CDM inazidi kua imara kila kukicha nyie mnajua nafsini kwenu
  11. Zegreaty

    Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

    TAL ni moja ya baraka iliyojaliwq nchi hii kama vile Tanzanite,Mlima Kilimanjaro,Gas ya asili,Bahari na Maziwa,na kwa binadamu ndio anaingia TAL yeye hata Mwalimu angekuwepo leo hii angesimama nae
  12. Zegreaty

    John Heche: Kauli ya Chacha imeithibitishia dunia tuliyokuwa tukisema. CHADEMA kitatoa tamko rasmi

    Dakika zajioni Bwana Chacha anajipiga own goal hakuna siri watasema tu wenyewe hawa taratibu
Back
Top Bottom