Recent content by zeeble

  1. Z

    Wapi wanachukua script za movie and series hapa TZ

    Nmekua mtazamaji wa movie za ndani ya bongo na nje pia lakin hz za nje nmeangalia Zaid na nmeona Bado fursa zipo hapa home TZ kwa script writer sema changamoto ni mtaji. kama serikari yetu ingelikua inatia mkono kdogo kama ilivyo KOREA,CHINA naiman tungetengeneza vitu vingi sana vya maana...
  2. Z

    Naomba nafasi ya kazi wakuu

    Kwa waliopo dodoma
  3. Z

    Wahitimu wengi wasiotulia baada ya wakiitwa written interview hawapo serious, mhitimu mwenye malengo ya ajira husoma kila siku kwa starehe

    Kama upo hom tu mda upo tena mwingi sababu huwaz vtu vingi ila ukishaanza kupay bills mwenyewe inakua ngumu kidogo hayo Mambo ya mipira ni kama kutafuta faraja kwetu sababu this life so stressed
  4. Z

    Wahitimu wengi wasiotulia baada ya wakiitwa written interview hawapo serious, mhitimu mwenye malengo ya ajira husoma kila siku kwa starehe

    Maisha yanatupeleka mbio sio kama hatupendi kusoma. Fikiria baada ya kuhitimu wengine tulitoka kwa wazazi na kujitegemea
  5. Z

    Wapi wanachukua script za movie and series hapa TZ

    Habari za wakati huu ndugu zanguni, katika tasnia ya filamu hapa nchini Mimi ni miongoni mwa wanaopenda sana sisi kama Tanzania tufike mbali Zaidi ya hapa tulipo, kongole kwa kampuni ya Azam kwa kuliona Hilo na kua kifua mbele kwenye hili. Nina mawazo tofauti tofauti ya kuandika series, movie...
  6. Z

    Naomba nafasi ya kazi wakuu

    Nipo Dodoma mwaka wa pili, kwa dhati kabisa nimekuja naombi kwenu ndugu zangu kama kuna sehemu ninaweza NikaprlekaCV either taasisi au kampuni kwa Dodoma, tafadhar mniongozekwa maana nimeishi had Sasa kiukweli sijabahatika kuona matangazo ya ajira kwa hapa dodoma Nimefanya interview taesa...
  7. Z

    Ajira mpya za TRA

    Jaman group la tax management officer kama lipo mniunge
  8. Z

    Kati ya Mbeya, Iringa au Songea ni sehemu gani sahihi kuwekeza?

    Sawa, wanafanya kilimo gani hayo maeneo mkuu
  9. Z

    Kati ya Mbeya, Iringa au Songea ni sehemu gani sahihi kuwekeza?

    Vp kuhusu capital yake kma wakala wa mbolea Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  10. Z

    Kati ya Mbeya, Iringa au Songea ni sehemu gani sahihi kuwekeza?

    Ubarikiwe mkuu angalau naanza kupata mwanga Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  11. Z

    Kati ya Mbeya, Iringa au Songea ni sehemu gani sahihi kuwekeza?

    Sawa mkuu, songea kilimo gan na ni wap naeza nikaanzia Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  12. Z

    Kati ya Mbeya, Iringa au Songea ni sehemu gani sahihi kuwekeza?

    Ahsante kiongozi ,pia kma una uzoefu kwenye sekta hii ningeomba kushea na wewe mkuu hasa kwenye hayo maeneo Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  13. Z

    Kati ya Mbeya, Iringa au Songea ni sehemu gani sahihi kuwekeza?

    Unachosema ni sahihi, lakn kabla hujafanya uwekezaj nazani unafaham lazima ujue eneo husika na kp unaenda kufanya, kwangu ningelikua na uwezo ningalitembelea hayo maeneo yote kwa uchunguz zaid, lakn sitoweza Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom