Recent content by zee_latown

  1. zee_latown

    Hivi ICC wanasubiri ripoti na utekelezai wa mapendekezo yatayotolewa na Tume ya Jaji Lila?

    we mlughalugha si ulisema unaaga jf wakati ule? mbona bado upo mpaka leo umesahau nini? huna guts za kuondoka jf we mwanamalundi:D:D Eugene Krabs
  2. zee_latown

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    humu members wapo wengi mno... mpaka nimem point huyo nikwamba it's very serious. msaidieni mwenzenu. msimdhihaki. natumai umenielewa binti... kwa heri.
  3. zee_latown

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    mimi ni babu siyo kaka. namzunumzia huyo gunner.. ana utimamu wa akili?
  4. zee_latown

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    sorry for intervening... huyu kijana kiakili yupo timamu? nipo serious na swali hili..
  5. zee_latown

    Baba miaka 45 amenyooshwa na mtoto wa 23, limekimbia bila viatu

    mbona maneno mengi? umewahi niona? namtaka huyo dogo
  6. zee_latown

    Baba miaka 45 amenyooshwa na mtoto wa 23, limekimbia bila viatu

    niya kweli hii? anyway nimemtamani huyo dogo naomba unikonekt naye... nataka nipashe naye.. am above 75 ila nina 80% za kum knock down within 5 min... i don't joke
  7. zee_latown

    Rafiki wa Mume wangu............

    loh binti safi sana wewe umenikumbusha miaka mingi nyuma... ujanani nilipenda sana wanawake makurumbembe..sikupenda watulivu.. niliwezana sana na makurumbembe... unanifaa wewe,, ndo michezo yngu hiyo... mpaka uzeeni mimi napenda makurumbembe yale ya town... nipo hivyo ingawa nimezeeka sana na...
  8. zee_latown

    Mchepuko wangu umemkomoa wife,nimefurahi sana

    hawa niwa kutangulizwa front line jeshini wakafie huko
  9. zee_latown

    Mchepuko wangu umemkomoa wife,nimefurahi sana

    wote wewe , mkeo na mchepuko ni wapumbavu. a pool of nincompoops
  10. zee_latown

    Ni bora kumiliki IST kuliko landcruiser

    tafuta level yako kijana... hizo si level zako ni za akijna jk na lugumi. ndege wafananao huruka pamoja, walisema waswahili
  11. zee_latown

    Ni bora kumiliki IST kuliko landcruiser

    usiige kunya mavi makubwa kama tembo, utapasuka msamba... jitahidi u mingle na level zako. itakusaidia sana
  12. zee_latown

    Mpenzi wa zamani (My LOVE)

    samahani,wewe kijana huwaga upo sawa kiakili? nipo serious naomba unijibu.. Gunner11
Back
Top Bottom