Recent content by Zee la madawa

  1. Zee la madawa

    Nyerere awamu ngumu kuwahi kutokea na ukatoliki wake

    Mnamo Jumatatu ya mwezi Mei 18, 2015 Profesa Joseph L. Mbele aliandika katika Blog yake (mtandao wa jamii) akiwahimiza Watanzania kusoma vitabu viwili: Kitabu cha Dr. John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, kilichochapishwa na Shirika la Kanisa Katoliki la...
  2. Zee la madawa

    Mgeni toka Dubai kakutwa na pembe ya Faru, kalipa tu Faini

    Jamaa ni mpumbavu sana simkubali hata kidogo
  3. Zee la madawa

    Mgeni toka Dubai kakutwa na pembe ya Faru, kalipa tu Faini

    Mpumbavu wewe kwahiyo hapo uislamu umejuaje? Kwahiyo kila muarabu ni muislamu? Takataka wewe mkubwa
  4. Zee la madawa

    Mgeni toka Dubai kakutwa na pembe ya Faru, kalipa tu Faini

    Na nani amemuambia kila muarabu ni muislamu?
  5. Zee la madawa

    Mgeni toka Dubai kakutwa na pembe ya Faru, kalipa tu Faini

    Sijui kulikua na ulazima gani kuutaja Uislamu!
  6. Zee la madawa

    Mgeni toka Dubai kakutwa na pembe ya Faru, kalipa tu Faini

    Mwarabu Muislamu? Kulikua na haja ya kuutaja uislamu? Kwahiyo hapo uislamu umejuaje hapo mbona akikamatwa mzungu hausemi Mzungu mkristo au muhindi muhindu au mchina budha au mjapan Shinto? Una shida gani na uislamu? Mada yako umekosa msingi mpumbavu wewe
  7. Zee la madawa

    Kwa nini biashara ya dawa za kulevya haramu Tanzania na Kenya imejikita Pwani ?

    Kwasababu means ya Transport ya usafirishaji wa madawa ya kulevya ni kupitia Bahari so maeneo ya Pwani ni kama transit area kwasababu mostly area ambayo bahari ipo ni Pwani rejea Pakistani to Brazil to Mozambique to Tanzania to Kenya( Mombasa) to south Africa Pacific to Indian Ocean then...
  8. Zee la madawa

    Sikuwahi kujua kwamba Nye....to ni tamu kiasi hiki kununua ma.....laya bye bye

    Wakuu aliyegundua Nye....to alitisha sana aisee kwasasa kununua mal...aya bye bye kwanza kupiga Nyerere.......to hautumii gharama wewe gharama yako ni sabuni tena kile kipande cha mia tano unaweza kutumia hata miezi sita mfululizo bila kuchoka aiseee yaani hapa mchawi ni mikono yako tu iweze...
  9. Zee la madawa

    Japo kwao kuna vita na majanga kila aina Wasomali wanabaki kuwa jamii inayojielewa wanataka miongoni mwa jamii za kiafrika

    Unapo Zungumzia Jamii ya Wasomali Unazungumizia Harakati, Huezi Shindana na Jamii hii Zaidi utaumia Bure kwasababu jamii hii sio Taifa na Dini Pekee jamii hii ni Harakati ya Kiuchumi, Siasa na Elimu. Jamii hii Ipo Ndani ya kila Serikali Yenye Ushawishi, Jamii hii ipo katika kila Nchi kiuchumi...
  10. Zee la madawa

    Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

    Mungu wenu alikufa msalabani kwa kupigwa misumali na aliyewaumba?
  11. Zee la madawa

    Millard Ayo ana Mke na Watoto; kwanini aseme anatamani kuwa na watoto?

    waTanzania kwa chuki,wivu na majungu ni pipa na mfuniko wala lisikupe tabu Lissu anawapambania majuha kwenye hii nchi
  12. Zee la madawa

    Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

    Congo,Haiti,siera Leone,Liberia, Central Africa,Rwanda genocide,civil war in Burundi bila shaka chanzo ni uislamu si ndiyo?
Back
Top Bottom