Recent content by Ze_Papirii

  1. Ze_Papirii

    Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo

    Hapo na mm ndo nnaposhangaa maamuzi kama haya yanafaa kutumika km case law/precedent pale tu endapo sheria/kifungo hicho hakikuwahi kuwepo au kilikuwepo lakini hakikutolewa ufafanuzi mzuri unaoeleweka...
  2. Ze_Papirii

    Ilikuwaje ukagundua rafiki zako kwao ni matajiri..?

    Aliachana na mambo ya shule kabsaa huyo
  3. Ze_Papirii

    Ilikuwaje ukagundua rafiki zako kwao ni matajiri..?

    Huyo mwanetu tulisoma naye A'Level, siku ya paper la Taifa Physics 2 jamaa alikimbia mtihani, washikaji tulimhurumia knoma tukaona anaenda kufeli maisha. Ile tunamaliza paper la mwsho kabsaa practical tunaingia whatsap tunaona mwmba kapost status yupo na Gari ya mzee wake anadunda tu kitaa🙌...
  4. Ze_Papirii

    Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

    Kapigwa chini au kamaliza muda wake.??? Kwani alikua anagombea na yy.??? Usikurupuke kupost vitu Boss.
  5. Ze_Papirii

    Biashara unazoweza kuanzisha ukiwa na milioni moja ( Tsh 1,000,000)

    Maelezo mazuri, ila mimi nataka kujifunza tu binafsi sina mpango wa kuwa mwalimu itanilazimu kuchukua km mda gani kuwa vizuri kwnye martial arts hasa KungFu
  6. Ze_Papirii

    Biashara unazoweza kuanzisha ukiwa na milioni moja ( Tsh 1,000,000)

    Ni wapi wanafundisha KUNG-FU hyo ndo nataka nijifunze na mm sitaki mazoezi nataka skills tu, mazoezi nafanya kila siku
  7. Ze_Papirii

    Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

    Mimi huwa sihongagi kabisa wanawake japo sijawahi kuwa na mahusiano stable sana na wala sijali mana kifedha nakuaga salama sana mm ni mchumi haswaaa kwa hvi viumbe, ahsantee kwa uzi mzuri👍
  8. Ze_Papirii

    Biashara unazoweza kuanzisha ukiwa na milioni moja ( Tsh 1,000,000)

    Naomba ufafanuzi mrefu namba 7 hyo ni martial arts gan znazofundishwa, ada zipoje na inachukua mda gan hyo kozi
  9. Ze_Papirii

    Biashara ya Jezi inavyokua kwa kasi, Je zinatengenezwa wapi?

    Ligi zinakaribia kuanza wakuu, hadi sasa ni Jezi ya team gani inayoonesha dalili ya kutamba msimu huu tujuzane tuanze kuzisaka..👇👇
Back
Top Bottom