Recent content by zaratustra

  1. zaratustra

    Miji nayotamani kuitembelea na kwa sababu gani.

    Yerusalemu! Nikapaone alipozaliwa Yesu Kristo, Mkombozi wa ulimwengu! Pia kuona maeneo mbali mbali ambayo huwa nayasoma kwenye Biblia!
  2. zaratustra

    Nyosso vs Bocco, Kagera vs Simba SC! Mechi tamu sana usikose

    Halafu wote nadhani wote ni makapteni wa timu zao! Patamu hapo![emoji31] [emoji31] [emoji31]
  3. zaratustra

    Masoud Djuma: Wachezaji wa Simba SC wanaamini ushirikina

    Mmenikumbusha Pape N'diaye na POWER BANK lake KUUUUBWAAAA.......[emoji2][emoji2][emoji2]
  4. zaratustra

    Ni mchambuzi gani bora wa michezo Tanzania?

    Mchambuzi "bora"??? Kwa Tanzania HAKUNA!
  5. zaratustra

    Azam FC mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2018 waifunga URA kwa penalti 4-3

    [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera zao!
  6. zaratustra

    Kwa kikosi hiki, Brazil wasipobeba Kombe la Dunia naachana na mpira na JamiiForums natoka kabisa

    Mashindano yakifanyikia Ulaya, Brazil sikumbuki lini walichukua ubingwa wa Dunia.......Labda 1958, michuano ikifanyikia Sweden! Mnikumbushe maana huu uzee nao......ni majanga!!
  7. zaratustra

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ulikuwa unacheza nginde au .......?? Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  8. zaratustra

    JamiiForums Usiku wa manane

    Jan 1, 2018 23:58
  9. zaratustra

    Rangi ya mwaka 2018 ni Ultra violet

    Tuwekee na kiatu cha kiume!
  10. zaratustra

    Tukumbushane Wachagga waliowahi kusakata kabumbu kwa kiwango cha ligi kuu bara

    Ally Mustapha "Barthez" mchaga wa Ilala..........
  11. zaratustra

    Hebu tupia mawazo yako kwenye hii picha

    [emoji122] [emoji122] [emoji122]
  12. zaratustra

    Usafiri wa Daladala Dar

    Maeneo ya Jangwani to Magomeni
  13. zaratustra

    Huduma ya Luku kusitishwa kuanzia saa 4 usiku hadi saa 7 kutokana na ubomoaji wa Jengo la Ofisi za Tanesco

    Mitaa ya kwetu Mwenge majira ya saa nne nne hivi, sijui kuna mtu kaajiriwa leo.......maana si kata zima iliyokuwa inafanyika! Nadhani jamaa alikuwa anajifunza jinsi ya kuwasha na kuzima switch ya umeme[emoji34][emoji34]
  14. zaratustra

    Mwanza: Janeth Shonza & Milembe wafikishwa Mahakamani kwa kosa la kushiriki mapenzi ya jinsia moja, wakana mashtaka...

    Mkuu si usubiri ufafanuzi wa sheria na hayo mahakamani! Una haraaakaa.......
Back
Top Bottom