Recent content by Zamaulid

  1. Zamaulid

    WAZAZI, HII LIKIZO YA MIEZI MIWILI TUTAIVUKA SALAMA?

    Mi wa kwangu nadhani watarudi shule hiyo mwakani wakiwa wamesahau hata kusoma!
  2. Zamaulid

    Msaada hospital yenye vifaa na wataalamu bora

    check na busweta general hospital
  3. Zamaulid

    Yanayoendelea Bongo, yamenifanya nimkumbuke Captain Tesha

    Hata mi nawashangaa wanaoleta habari ya kupindua...sijui wanaitoa wapi
  4. Zamaulid

    TANZIA MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    Mungu awafariji wote walioguswa na msiba huu.
  5. Zamaulid

    Kwanini ulizaa, unazaa au una mpango wa kuzaa watoto?

    Nataka niijaze dunia
  6. Zamaulid

    Kifo ni kifo: Umeshawahi kushuhudia ajali na kuona mtu akipoteza maisha?

    mwanga wa milele uwaangazie marehemu wote!
  7. Zamaulid

    Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Ufupisho: Mtu alikwenda Kariakoo kununua soundbar na kukutana na kijana mdogo (miaka 20+) anayefanya kazi ya kuuza vifaa. Kijana alikuwa na iPhone ya gharama (≈ milioni 2), jambo lililomshangaza kwa kuwa kipato chake hakidhaniwi kumwezesha. Alipomuuliza simu hiyo inamsaidia nini, kijana alijibu...
  8. Zamaulid

    Mabasi ya Usiku: Visa nilivyo kutana navyo!

    Hata mabus ya mchana nayo yana kero kama hizi tyuuu
  9. Zamaulid

    KERO Ofisi ya Afisa Ardhi Mamlaka ya Mji mdogo Katoro - Geita haitoi huduma nzuri kwa Wananchi

    mkuu taja jina ili isiwe umbea...unaogopa nini wakati iko nyuma ya keyboard yako.
  10. Zamaulid

    wakuu nauza kiwanja Mwanza

    kwanini umeamua kukiuza tena, hauoni unataka kusababisha mgogoro?
Back
Top Bottom