Recent content by yusen

  1. Y

    Mtandao wa mawasiliano unasumbua napofika nyumbani, nifanyeje kutatua changamoto?

    Yotetu vip kama nikitumia vpn inaweza kusaidia??
  2. Y

    Mtandao wa mawasiliano unasumbua napofika nyumbani, nifanyeje kutatua changamoto?

    Kwema wanajamii? Naombeni mawazo kidogo, nikifika nyumbani mtandao unasumbua hivyo kuhusu suala la kuwa online linakuwa gumu. Kuna njia gani naweza tumia ili niweze endelea kuwa online?
  3. Y

    Ombi la Ushauri wa Kuongeza Mtaji kwa Biashara ya Vifaa vya Simu

    Anahusika na kujumlisha vifaa vyasim au
  4. Y

    Ombi la Ushauri wa Kuongeza Mtaji kwa Biashara ya Vifaa vya Simu

    Wakuu, habari za kazi? Samahani kwa usumbufu. Nina biashara ndogo ya vifaa vya simu (phone accessories), lakini ninahitaji kuongeza mtaji ili niweze kuagiza mzigo mwenyewe kutoka China na kuuza kwa jumla. Naomba msaada kwa mwenye uzoefu katika hili tafadhali. Asante.
  5. Y

    Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

    Mku ii inafanyika vip??
  6. Y

    Gari yangu inachelewa kubadili gia

    Msaada tafadhali gari yangu aisomi speedmeter, haiwaki sehem ya odo pia inachelewa kidogo kubadili gia mafundi wangu na ina wanachem sjui shidanin
  7. Y

    40mph 64km/h

    Apo inaman itategemea na mtu atatembea spidigan kulingana na gari yake sio?? Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  8. Y

    40mph 64km/h

    Asante kaka Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  9. Y

    40mph 64km/h

    Je nispidi ipi utakua unetumia apo kaka Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  10. Y

    40mph 64km/h

    Kwamfano unaitak kwenda sehem na ukaambia kwaiosehem unayo enda ukitembea 40mph ( 64km/p) utaweza tumia samoja nanusu Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  11. Y

    40mph 64km/h

    Hahaha Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  12. Y

    40mph 64km/h

    Wakuu samahan naomba kuuliz et nini maana ya 40mph (64 km/h) msada tafazar Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom