Recent content by Yurri

  1. Yurri

    Kwanini Kamari inaruhusiwa Tanzania?

    Yaani Kamali iwe mbaya kuliko ushoga? Kweli? ....duh
  2. Yurri

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Kwa mala ya kwanza.... Nimewaza kupambana na udhalimu wa Serikali ya - CCM kwa njia za haki na demokrasia ni ngumu. Hi nchi miaka ijayo itaingia kwenye machafuko mkubwa sana. Vyombo vya usalama liangalieni hili taifa linakoelekea ,ni kwenda kuzalisha vikundi vya waasi! Nchii imeharibika...
  3. Yurri

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Na Sitaki kuamini kama hujui akikutwa na hatia, haiwezi kuwa hasara kwake na family yake tu. Huu ni Msiba kwa taifa na taaluma ya Sheria, hi kesi yake itatumika kama reference; kuhukumu wahaini wengine huko mbeleni. Ili hali kesi hii wote tunajua hamna kosa la uhaini pale.
  4. Yurri

    PayPal Tanzania

    Chief, naomba nielekeze namna ya kujiunga PayPal,, Kuna kitu nataka kununua eBay
  5. Yurri

    Nilichogundua hawa wanaotetea huu uongozi hapa JF ni kama sisi tuu

    Wana njaa tu hao, hata maovu yakifanywa na CCM hawapo tayari kukemea sasa hao watu maana wenyewe hao!
  6. Yurri

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Huyo ni opportunists, Hilo haliwezi kutokea kamwe! Ni kweli ana background ya kutokea familia maskini ila kamwe hajawaji waonea huruma Watanzania,ndoto yake siku aje kuwa Rais wa nchi yetu! Sio kiwepesi hivo achafue brand
  7. Yurri

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Samia hatambui kuwa ,,,Huku ku resign kwa viongozi wake waandamizi , Kuna mchafua yeye mwenyewe! ...(Job Ndugai, Philip Mpango, Majaliwa) Sasa Makamu wake Nchimbi! Nchimbi ni presidential material plz tunaomba asife kama Ndugai, ee Mungu tusaidie kwa hili tu sisi Watanganyika.
  8. Yurri

    Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

    Asante GSM ,Kwa jambo kubwa na zuri la kuwa na nia ya kujenga uwanja. Pongezi kubwa Eng Hersi na uongizi wake kwa jambo hili. Kuna mambo kadhaa yafaa, kuulizana. Yawezekana furaha ya sisi wanachama kuona picha za uwanja na kiu yetu ya miaka mingi kumiliki uwanja wetu tena kabla ya mtani...
  9. Yurri

    John Heche: Tusiposikilizwa, tutaitikisa nchi kwa maandamano; Lissu aachiwe huru

    Please, kama serikali ikitaka kumpa adhabu, Tundu Lissu...imetosha sasa! Aachwe huru sasa aendelee na maisha yake.
  10. Yurri

    DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Moja ya jambo zuri la mfumo wa ESS, ni namna ulivorahisisha upatikanaji wa mikopo kwa watumishi wa umma. Yaani, ndani ya siku moja au mbili unapata mkopo wako, hamna tena rushwa kwa maafisa utumishi na ma loan officers, uwazi wa kikokoto Cha Makato ya mkopo nk.. in fact faida ya Ess kwenye...
  11. Yurri

    JamiiForums kwanini hamuwashitaki TCRA mahakamani?

    Kwa mahakama ipi? Hehehehe (in Chaaba voice)🤣 Frankly speaking,kufungiwa kwa Jamii Forums ,ni jambo lilifanya niichukie serikali ya CCM , eti sababu ni picha za yule mhuni wa Zimbambwe akiwa Ikuru
  12. Yurri

    Hofu ya watanzania wengi: Je, 2030 baada ya Rais Samia kumaliza awamu yake CCM wataweza kuleta Rais mzuri kama Samia kweli?

    Kila uchaguzi ukiisha CCM huanza kuwaza uchaguzi ujao, kamwe hawajawahi kuwaza kujenga nchi..... Moja ya sababu kuonekana Watanzania ni wajinga sana ni kuacha hadi Leo baada ya miaka 60+ ya uhuru , tuongezwe na hiki Chama
  13. Yurri

    Rais Samia anawapenda Sana Watanzania Kwa Dhati Ya Moyo wake

    Hapa haupo sahihi,, mauji yanapotokea nchi yeyote Rais unawajibika sababu wewe ndie Amir Jeshi Mkuu....
  14. Yurri

    Hakuwezi kufanya mageuzi ya polisi maana ukatili wao polisi ndio unaowawekaCCM na watu wao madarakani

    Kuna rafiki yangu wa karibu nilisoma nae chuo ni Askari Police, tena ni Afisa mkubwa tu ana Nyota tatu, Alitamka mbele yangu asingependa mwanae au ndugu wa karibu yake awe Police..! Nilishanga kwa kwl
  15. Yurri

    Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.

    Ushauri mzuri mkuu....lakini huoni PM anazungumzia miundo mbinu iliyoharibika hazungumzii vifo vya watu , Mwigulu bwanaa!
Back
Top Bottom