Recent content by yohana kaitira

  1. yohana kaitira

    Kwanini Wamarekani walimzika Osama baharini?

    Balali alifikwa na mauti huko amerika By waziri mkuu Fulani kutoka Tanzania,q Mm siamini kama Osama alikufa au hakufa labda marekani wenyewe watupe video yake wakati wanamshambulia,otherwise wasituletee story kama za kina balali na vichwa vya treni huku kwetu
  2. yohana kaitira

    Nape: Kuzuia mikutano ya kisiasa siyo kuminya demokrasia na siyo udikteta

    R.I.P siasa udikiteta has in powered
  3. yohana kaitira

    Party ya mtoto Hamisa Mobeto na Diamond, Prince Dee ilinoga hatareee

    Huyu domondo atawamalizA mademu wa tz wenye akili kisoda kama za kina mobeto
  4. yohana kaitira

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Huyu mteregano analeta maisha ya chips na soda ya DSM huku kwetu ni kazi tu kama hataki arudi kwao
  5. yohana kaitira

    Mtu yeyote anayewaza kuoa au kuolewa katika kizazi hiki ni mpumb...vu...

    Umepewa faili Namba ngapi mirembe ndg yangu??? Yaani wewe kutoswa na mtu wako povu lote umeleta huku jamii forum!!! Pole sana hujui kuhudumia ndo maana umetoswa.
  6. yohana kaitira

    Sheria ya Makosa ya Mtandao kwa 2016, watu 7,000+ wamekamatwa; Mahakama ya Mafisadi haijamshughulikia fisadi hata mmoja

    Vi-wonder ndo kauli mbiu sahizi, binafsi Nina kiwanda cha kubrush vuatu vya matrafic hapa hayo mambo ya mafisadi walwa hana habari nayo sahizi.
  7. yohana kaitira

    Mtuhumiwa Escrow, Harbinder Sethi akimbizwa Muhimbili

    Kwa nini amekamatwa? Si zile tuliambiwa kuwa zilikuwa pesa za madafu na zilikuwa Mali yao ni kina lugemalila.
  8. yohana kaitira

    Starlet Glanza iliyomtesa mwanangu

    Afadhali wewe umenunua Gari bhana mi Nina bajaji yangu inanitosha tena ninainjoy sana na familia yangu ninapotaka kutoka out
  9. yohana kaitira

    Jinsi Lissu alivyowabadilisha waliomuona Nairobi

    Nyani huoni kundule
  10. yohana kaitira

    Wakenya nje ya nchi wazidi kuvunja rekodi ya utumaji wa hela nyumbani

    Muda huo watanzania waongoza kutuma hela nchi za nje kama vile uswisi shelisheli kupitia mifuko ya lambo na fedha za madafu.
  11. yohana kaitira

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Swimming pool za nini wakati tuna ziwa?
Back
Top Bottom