Recent content by YNM

  1. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    hilo ni swala la muda tu, hizo sherehe unahisi zimeanza zenyewe tu? kuna lengo "maalum" kama hujajua hiyo tuiache tu
  2. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    Niamini mimi wewe unaweza usijue kwanini unaishi duniani
  3. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    Wewe haki ya kwamba mtu ambaye "halindi mgongo" aachwe tu walikaa kina nani, mahali gani waliwashirikisha kina nani mpaka leo hii nchi zinashinikizwa?
  4. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    Kuna huu msemo napenda sana kuutumia, sio kila mtu mweusi unayemwona basi ni mwafrika najua ni ngumu kuelewa lakini kila mtu anayezaliwa ana riziki yake. Yaani hata kichanga kinachozaliwa leo, ila matendo ndiyo yanatofautisha kadri ukuaji unavyoendelea. Kuna wengine njia zao ni ngumu sana saabu...
  5. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    Upande wa Nuru unataka wewe uwe na akili, yani haya yanayofanyika duniani either legal or illegal uyafanye kwa weledi mkubwa sana hata kama ni kuiba ila uombe kibali kwa "Mwenyewe" . Na uzuri "Mwenyewe" anajua hata utakachofanya baada ya kuvipata. lakini inabidi ujue kwamba unapoomba Mungu...
  6. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    Uzuri binadamu nawajua hasa watanzania, nakuhakikishia hata navyovifanya huwezi kuvifikia ni kwasababu umepata room ya kujadili hapa
  7. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    Ngoja nikuulize swali, ni nani aliye nyuma ya "haki za binadamu", sheria zote tunazo zifuata leo hii.........unajua ni kina nani walitunga, walikaa na nani kusema hii ni haki hii sio haki, leo hii wewe umeikuta wanakwambia ni haki, wewe ukitumia akili yako unaona haki ya mwanadamu ni nini?
  8. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    kundi moja hilo, wewe jua tu huo ndiyo mpaka wa mwanaume na Mungu
  9. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    Nitakujibu kama swali lako linavyosema, wewe yawezakana ukawa ni miongoni mwa wale watu mnaodhani utajiri ni mali nyingi, dude kuna tajiri na kuna maskini aliyepata hela.........maskini aliyepata hela huyo ni maskini mpaka kaburini., halafu wealthy hauji overnight lazima upitie season na season...
  10. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    Hujajua "agenda" zote zinazoendelea duniani ni kumpokonya mwanaume "utawala" wake tena kwa akili nyingi sana, labda nikwambie kitu kimoja, hakuna dhambi duniani ambayo msamaha wake ni mgumu sana kama "kuto linda mgongo" sasa hiyo ndiyo ndiyo peak ya dhambi kama hujajua na ndiyo maana mwanaume...
  11. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    Nyinyi wa huu upande mna siku yenu, kuna siku nitawaletea facts nyingi sana maana mmebaki katikati wakati watu wako kwenye "mission" za hatari za kuwafanya nyinyi muishi hivyo mlivyoamua au na nyinyi ni sehemu ya "mission"
  12. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    Hawa ni ngumu kwasasa kuwaelewa nikikwambia, na mission zao sahizi almost zimekamilika zilikuwa over years. Aanzie pale pale alipo, kama anasoma ajitahidi hata kama mazingira ni magumu vipi amalize shule shule, hapa naongelea waliopo vyuo, waliopo mtaani na umri mdogo wanahitaji mentors wazuri...
  13. Y

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    Salaam! Kuna nyuzi nyingi hapa JF huwa zinachekesha na kutafakarisha sana. Kuna mada humu unasoma mpaka unahisi wahusika wa humu wengi labda ni watoto, hawajaelimika au wamekosa utambuzi. ID yangu ni ngeni kwenu lakini ni vile tu huwa sichangii. Hii ni hoja huru, nawakaribisha wale wote ambao...
Back
Top Bottom