Recent content by Yedidiahh

  1. Y

    Medical doctor vs bachelor of law

    Veterinary med to md,, hiyo haiwezekani, anatomy ya ng'ombe na binadamu vitu viwili tofauti .. ungesema from C.O to MD sawa
  2. Y

    Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Mkuu natamani sana kuongea na wewe, naamini experience is a good teacher, nafarijika kuona unaelewa ubawa wa changamoto hii. Ubarikiwe mkuu
  3. Y

    Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Ahsante sana mkuu.. nimekuelewa sana point yako . Ubarikiwe
  4. Y

    Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Ahsante sana ndugu yangu, kiukwel hata wazazi hawajawahi kunielewa kuhusu hali yangu.. wakati mwingine hata jamii inaona nafanya makusudi.. nashukuru sana kwa ushauri huu mkuu
  5. Y

    Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Ahsante sana mkuu . Tuzidi kuombeana . Duniani kuna mambo mazito sana .. tunahitaji kutiana moyo sana
  6. Y

    Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Mkuu mimi ni mwanafunzi wa kada ya afya.. bado napambana na kitabu.. ila nakushukuru kwa ushauri wako mzuri .. chanzo nimekieleza tayar kwenye nyuzi hii hii
  7. Y

    Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Nashukuru sana mkuu .. nitajitahidi kusoma ushauri wote chanya na nitaufanyia kazi
  8. Y

    Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Ahsante sana mkuu.. tuzidi kuombeana
  9. Y

    Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Ahsante mkuu ngoja niisave hii namba
  10. Y

    Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Mkuu unaweza shangaa ila bado nasoma .. ningekuwa nimemaliza miaka mingi sana ila hii hali ilinichelewesha. Wenzagu karibia wote tayar wameajiriwa na wana maisha yao. Naamini na mimi siku moja nitamaliza pia
  11. Y

    Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Ahsante sana mkuu.. kiukwel nimefarijika sana kuona kuna watu wanaoelewa hali hii.. binafsi nipo mkoa wa Rukwa nasoma chuo huku. Pia nitakutumia mawasiliano yangu inbox tuzidi kufahamiana mkuu
  12. Y

    Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Ahsante sana my Brother, kiukweli nafarijika sana kuona kuna watu wachache wanaoelewa hii hali. Kiukwel inatisha mkuu. Tuwaombee sana ndugu zetu wasikumbwe na hili tatizo
  13. Y

    Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Ningekuwa nimejiondoa muda mrefu sana mkuu. Nilifanya suicidal attempt tatu lakin nashukuru Mungu aliyeniokoa katika zote izo mkuu
Back
Top Bottom