Recent content by X man

  1. X man

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Upo sahihi mi pia niliwapigia kuwaulizia hilo swala wakanijibu hivyo tarehe ya kuexpire ni Ile ambayo matokeo yaoral yalikuwa uploaded
  2. X man

    Adhabu mbadala wa viboko kwa watoto wakorofi shuleni

    Sio rahisi kwa zama hizi kumfukuza mwanafunzi shule we unaona adi wenye mimba na waliozaa wanarudi shule
  3. X man

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Oyaaa hiyo lini hiyo
  4. X man

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwan hajaandikiwa passed and placed in data bank
  5. X man

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana Hongera sana uwe mtumishi mwema,ngoja sisi tusubilie
  6. X man

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Education degree (Chemistry)
  7. X man

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    🙏🙏🙏 Shukran nimekupata
  8. X man

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mmmh hii nieleweshe kidogo kwa mfano Mimi nilipiga 14/12/2025 oral 17/12/2025 afu wakaanza kuita watu kazini mwezi wa 2/2026 kwa hiyo hapo terehe au mwezi wa kubadilisha hiyo passed and placed in data bank. Na kuwa expired inakuwa mwezi gani
  9. X man

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mmmh na Mimi nasubilia mwezi wa 12 nipate expired ya pili 😥😥😥😥😥nikuanza mapambano mapya
  10. X man

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Daah Hawa majamaa wametususa Yani mwaka huu unakata hawajatangaza ajira
  11. X man

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    🤣🤣🤣Wanasubili kuexpire kwenye kanzidata
  12. X man

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mwenye nacho hamkumbuki mwenye njaa
Back
Top Bottom