Recent content by wyclefmore

  1. W

    Hivi GADAFFI amefanya kosa gani? Kwa Wa-Libya,Afrika na Dunia

    <br /> <br /> Wakati anazindua msikiti uganda aliutukana sana ukristo na kumtukana sana Yesu.haya ni mapigo kwa kumlaani Mungu.
  2. W

    Kakobe Askofu Mkuu wa kudumu FGBF

    Jamani mwamakula muongo kabisa kkkt ilianzishwa na wamishenari wa kilutheri kutoka ujerumani na siyo martin luther.
  3. W

    Uongozi NMB tawi la ifakara wazembe,siku ya 5 sasa pesa hakuna

    nmb ifakara wamechoka kupita kawaida-wilaya nzima ya kilombero atm machine mbili tu-this is absurd.ukiwaambia waweke atm maeneo mbalimbali utasikia oohh lazima sijui atm iliyopo ihudumie watu laki kumi.mi nadhani hizi policy ziwe flexible kidogo geography ya kilombero iko complex kidogo.unajua...
  4. W

    Maalim Seif: Nikipewa uenyekiti niko tayari kuhamia CCM

    maalim sif mnafiki wa karne-kabla ya mseto alikuwa ba kelele nyingi sana kuhusu amendeleo a zanzibar mara katiba,mara maliasili mara bandari mara mapato ya wazanzibari leo kapewa cheo yuko kimya-anakula kuku tu huku akiwa ana mategemeo makubwa ya pensheni nyumba na ulinzi baada yz kustafu.yeye...
  5. W

    Mshahara wa mtu mwenye master degreee......msaada plse!

    nenda cwt kwa ufafanuzi wa kina.kumbuka kuandika lesson plan,scheme of work na kijaza log book.pia tumia participatory method kufundisha.mwalimu ni nguzo ya taifa.
  6. W

    Mbunge Sugu aelezea kukamatwa kwake na kinachoendelea Mbeya Mjini hivi sasa

    ruge mutahaba mhunu sana.si dio yule amemtia umaskini dada mwenye kipaji saida karoli Amenyonya sana,leo hii hana mbele wala nyuma.cha ajabu watangazaji wote wa cliuds fm wako brain washed.adui wa ruge ni adui wao hata kama huyo adui ana sababu na madai ya msingi-hii yote sababu ya kuendekeza...
  7. W

    Wanaume kupaka rangi kucha mabinti

    sisi sote ni watu wazima hakuna mtoto hata kidogo-pale mwenge lazima kuna jambo.haya mambo ya wanaume kuafanya kazi yz kuwahudumia wanawakemfano,kucha,saluni au wanawake kuwahudumia wanaume mfano massage au saloni za kiume ndani yake kuna siri imefichika.lazima msukumo wake ni uasherati na uzinzi.
  8. W

    Majini, Mashetani, Mapepo na Mahayawani

    maneno hayo yote yana maana moja ila inategemeana na mahali.wabantu huita mapepo,majini au mizukan.k waarabu huita masheytwain.maruhani au majini.lakini kitheolojia yote yana maana moja tu kuwa ni roho chafu zinazoyokana na shetani.
  9. W

    Natafuta mchumba muathirika

    Okoka na uanze kumtafuta Mungu-Yesu anaweza kukuponya kabisa.nimeona na kushuhudia walioponywa kabisa.
  10. W

    St MaryGoreti (Moshi) na utata wa udaili wa wavulana form 5 wahusika mwalifahamu hili

    wahuni tu-wanadanganya huku wamevaa misalaba shame upon them.
  11. W

    Nisaidieni kuhusu mkataba wa kupangisha nyumba

    @mr rocky Samahani mwanajamii mimi siyo mpangaji ila mpangishaji.naomba consultation.
  12. W

    New Book on Islam Published

    napenda nikusahihishe yesu alitabiri yote na alijua uislam utakuja ila aliuweka ktk kundi la imani potofu itakayoletwa na nabii wa uongo ndio maana litahadharisha juu ya kuibuka manabii wa uongo ambao watakuja kuibuka.waliibika uislam ukiwemo na wanazidi kuibuka. Pia jenga mantiki biblia...
  13. W

    Nisaidieni kuhusu mkataba wa kupangisha nyumba

    wana jf naombeni eilimu juu ya haya 1.kuna madhara gani nikipangisha nyumba bila mkataba. 2.je mkataba wa kupangisha nyumba nautoa wapi-je naubuni tu mwenyewe.na kama nikiubuni tu mwenyewe utakuwa na nguvu za kisheria?. 3.je nikienda kwa wakili anaweza kuniandaloa mkataba-gharama zake vipi...
Back
Top Bottom