Recent content by WIZARD

  1. W

    Binti wa kihindi ananitesa...

    Nenda tena jifanye unanunua kitu tena, kama kweli alikuminya kwa kukupenda, atakuonyesha ishara nyingine. Kuwa makini na ndugu zake, kuna jamaa etu aliletewa noma kule Mbeya miaka ya nyuma lakn mwishowe alifanikiwa.
  2. W

    Nimeoka kutoka JF,uteja basi!

    Kwaio sasa umekuwa teja wa nini baada ya kuikataa jf? Kama si uzushi nnini!!
  3. W

    TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    Tutamkumbuka daima milele, mpaka siku ile Mungu atapotukutanisha tena x 3
  4. W

    TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    basi nae kaamua kumkimbia mazima milele....
  5. W

    TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    sio kwamba sina uhakika, huyu jamaa kafia Arusha maeneo ya Usa, hapa nilipo naishi karibu kabisa na shangazi ake, maeneo ya kimandolu, na chalii aliekuwa ana muuguza ni chalii etu, ambae ni binamu yake. Kwaio nna uhakika na hii habari.
  6. W

    TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    Wana JF kuna habari za kusikitisha nimezipata asubui hi kuwa mr Ebo kafariki, je wenzangu mmezipata?
  7. W

    Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee'z.....

    Wenda wazimu,
  8. W

    Nimechanganyikiwa, sikujua kama mwisho utakuwa hivi

    Ki ukweli hali ya sasa ni mbaya, maradhi ni mengi, lakufanya inatakiwa uangalie kama umethibitisha kuwa jomba ni mlevi wa ngono temana nae. Hakuna cha subra yavuta heri kwa kipindi hiki, "subira yavuta kifo" kwani maisha peke ako huwezi.? Sepa atakuua uo boya.
  9. W

    Ni JK au GT wa JF ndio wasiojua ?

    mara nyingi viongozi wanaongea kujiongezea umaarufu tu, hata hao viongozi wa serikali ya mpito ya wali bia hamna lolote.
  10. W

    Natafuta Nyumba Ndogo

    Kaombe ushauri kwa John Warker. mpuuzi wa mwisho we.
  11. W

    Kwanini??????

    ehe.! kwaio ndo haki mnayo taka.¿ ina maana we hujapendwa bado..?
  12. W

    Kwanini??????

    Bado hawajajijua kama wao ni dhaifu, siku wakijijua watastep down. na wataacha kuchonga.
  13. W

    Sababu za Marrian Girls ya Bagamoyo Kung'aa!.

    Kubali kataa io ni mazingira ya rushwa imetengenzwa, 150 > 3000 wapi na wapi..! hadi rushwa ngono lazma ipo. Watu watapigwa njenje apo hawatakaa waamini
  14. W

    Huwezi amini,lakini ni kweli!

    cku ya kec ulikuwepo.,, au blablablabla mingi hapa ndani... kisa umeshiba ugali mbaazi unaanza tujambia ovio,,
  15. W

    ulizo jamani

    Uko cko, mtanikuta mbele..!
Back
Top Bottom