Recent content by Wiseman Tz

  1. W

    UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Chi chi chi chi chi chid beeeeeeeeeeeenziiii Huu ni moto mbaya aiseeee
  2. W

    Usiku ule ulikuwa mkubwa na mzito sana kwetu.Tukio lililoacha kumbukumbu nzito maisha mwangu

    Wapi huko? Haya matukio yalikuwa yanatokea sana kanda ya kati
  3. W

    Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Yaani nilivyoona breaking news na hiyo rangi basi mapigo ya moyo yamenienda mbio nilidhani Kuna kifo
  4. W

    Kila Mnoreform aweke ushahidi wake hapa kwamba ni mtanzania kweli, kuna tetesi eti wengi wenu ni wakenya?

    Unataka ushahidi wa aina gani? Au mnataka muwatambue watu wa kuwateka?
  5. W

    Vitisho vya Hayati mkapa kwa Wahaya Vs vitisho VYA Msigwa kwa wanavyuo hatima ya uchaguzi

    Kipimo umpimiacho mwenzio ujue nawewe utapimiwa mara mbili yake.
Back
Top Bottom