Kuwapuuzia CHADEMA ukaenda na vyama vinavyosemwa ni vya mfukoni,inaweza ikawa na impacts kama ile ya Oktoba 29,ambapo vyama vingine vilishiriki na wananchi wakshakikishiwa usalama kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama,kuwa watu wapige kura tu,CHADEMA hawana madhara na wajitikeze kwa...
Ameandika sijui kutoka kwenye tafiti zipi?
Wanawake wanstofautiana kwenye level ya homoni,umri n.k.
Kuna wanawake wsnabondwa daily na wanasema hiyo ndo starehe yao,sasa jamaa sijui kachukua sample ya wapi anakuja anasema mwanamke anataka siku moja tu kwa mwezi.
Kiukweli hao majaji wathibitishe kisheria hilo kosa dogo wamelitoa wapi na hapohapo wakatoa hukumu.Kwenye era za uwazi hivi na kukiwa na wanasheria lukuki miaka hii,chalenji ni kubwa sana.
Wajisafishe na kama haiwezekani kujisafisha,jaji mkuu aite kikao cha siri akae na majaji pamoja na...
Na madai yake,nikimaanisha jasho lake?
Yaani umeona mtu akidhulumiwa au kucheleweshewa stahki zake,suluhu ni kuacha kazi?
Mbona watumishi wa umms wakicheleweshewa stahki zao hawaachi kazi?
Shida ya mwenzako unaweza ukasema lolote,ila siyo ikiwa yako.Acha hizo mkuu.Pesa tunatafuta ili...
Chifu najua wanakufanyia hivyo kwasabsbu wao wanalalia kwenye MADAI,lakini vuta subira huku ukipata eksipiriensi kwa huyu kwanza.Pole sana chief.Halafu mh.waziri Sangu jaribu kuwasiliana nae hata kupitia katubu wake,yaeezekana akakusaidia,pole sana
Yawezekana ni uelewa finyu,ila kwasababu kakamatwa,yawezekana sheria zitamfunza,ulimwengu huwa haushindwi kumfunza mtu hatakama katumia kijiti kikamtuma huko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.