Recent content by White Elephant

  1. White Elephant

    Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Kujisnapu, biashara mtandaoni,
  2. White Elephant

    Honda yawekeza Tanzania, yafungua kiwanda cha kuunganisha pikipiki Dar es Salaam

    Kiwanda ni eneo, jengo, au mkusanyiko wa mitambo na wafanyakazi ambapo shughuli ya uzalishaji hufanyika kwa kubadilisha malighafi (k.m. pamba, kahawa, madini, au mbao) kuwa bidhaa kamili au muundo unaofaa kwa matumizi ya moja kwa moja (k.m. nguo, vyakula, magari, au bati).
  3. White Elephant

    Mwananchi mkoani Geita akamatwa na Polisi akidai huduma ya maji

    Kudai maji, angeongea kisukuma ingekuwa poa tu, sema fresh tu wasukuma miyeyusho sana
  4. White Elephant

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Kuna mlevi mmoja alisikika kuwa ni Baba yake Charles Hillary je kuna ukweli wowote?
  5. White Elephant

    Alcohol Quiters: Sober Days Counter

    Change your circle unaacha chap, Ratiba za kwenda Bar ama nenda kwenye nyumba za ibada au gym, pia badili mfumo wa maisha,
  6. White Elephant

    Kwanini CCM Wameingia Mitini kwenye Msiba wa Mwanachama wao Wakili Alute Lissu?

    Wamachame wengi wao wana roho mbaya sana, hii inatokana kutawaliwa na wanawake
  7. White Elephant

    Makonda: Sasa hivi wameanza majungu ning'oke, hiki ni kisiki

    Nyuma yake wapo warangi rangi , hawezi toboa
Back
Top Bottom