watanzania wenzagu naamini kubalisha maisha ya kila siku yatupasa tubadilishe vile tufanyavyo kila siku. Napenda niwe mwanaJamii kama ninyi mlionitangulia. Ukaribisho tafadhali
wengi wa watoto wa maskini wamekosa, pia wamesoma nami St. Kayumba's na nina ushahidi wao. Kusoma government sio guarantee ya kupata mkopo. Sema tu yatupasa kumshukuru Mungu kwa tuliopata ila tutafute alternative ya kuwasaidia waliokosa, mf, kama umepata taarifa za private sponsorship za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.