Recent content by Wazo la kabwela

  1. Wazo la kabwela

    Hamis Mwinjuma (Mwana FA) ateuliwa kuwa Waziri wa Uvuvi

    nawaza kidogo.... makonda ni mtaalam wa uvuvi kwa kupitia darasani ana dip ya uvuvi pamoja na degree inayohusiana na maswala ya ushirika.... kwa nini asipewe uvuvi ..... hamisi kwenye soko la sanaa ni mkongwe kwa nini asiachwe pale???
  2. Wazo la kabwela

    Gerson Msigwa ahamishwa wizara ya Habari, ateuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya Maendeleo ya Jamii

    akapige umbea na kina pipi tida na uncle T Wakishirikiana na mama gwajima hukoo... msemaj wa serikal ni dr warioba
  3. Wazo la kabwela

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    nina master degree ni mwalimu .... nataka kuwa afisa elimu taaluma wilaya yoyote nifanyaje???
  4. Wazo la kabwela

    Nilipokuwa chuo kikuu kuna jamaa alimtoa lecturer mtukutu nje , Lema vs Mange , Lema ni mwanasiasa Mange ni mwanaharakati, jasiri ndio mshindi

    Uko sahihi,,, tunashindwa kutofautisha SAsa na Uanarakati.... Hao wanaharakati kama wanaipenda Tanzania waje kufanyia harakati zao nyumbani.... Warudi tuu ndio tutaamini wanaipenda TZ
  5. Wazo la kabwela

    R.I.P Mwalimu wangu Azaboy, current ukiwa mkuu wa shule Mnazi Mmoja, Joram Nkya

    Mwambie mtoto wako aside kupost matusi tuu mana watoto wa siku hizi😀😀😀
  6. Wazo la kabwela

    SGR inahujumiwa......

    Wanabodi habari..... Tumekua tukilalamika sana lakini hatusikilizwi juu ya upataji wa tiket za SGR... mfano mzuri ni lalamiko la Afande na ASKOFU Fulani hivi... toka jana najaribu kukata tiketi toka dom kwenda dar naambiwa tiket hakuna hadi jumatatu lakini kwa wakati huu huu naambiwa niingie...
  7. Wazo la kabwela

    Mgomo wa mabasi unaendelea kwa siku ya pili, 30 Septemba 2026

    Sasa wewe na akili yako utegemee nesi au mwl aje kukusaidia kugoma kisa shida yako???
  8. Wazo la kabwela

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Utumishi hawawezi kukukatalia chochote. Unaotakiwa kupambana nao ni hiyo taasisi unaotaka kwenda je?? Wana shida na wewe?? Ukute tayar mtu wanayemtaka wameshamuelekeza mtu aombe huko kwenye mfumo saa nyingine nyie wengine mnakua ni bwege wsindikizaji
  9. Wazo la kabwela

    Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Kama chama kinaongozwa na mjane unaymtegemea ninj?
  10. Wazo la kabwela

    Tetesi: Nasikia Simbachawene ameambiwa apige jeramba kuna sub inafanywa

    Kwa tetesi zilizopo nasikia Simbachawene ameambiwa apashe misuli moto kuna namba uwanjani inapwaya vibaya mno... kikwazo ni kwamba hakuna kocha mwenye mamlaka wa kumtoa huyo mchezaji mchezoni labda wamuuwe
  11. Wazo la kabwela

    Wanasheria: Ikiwa Rais na Makamu wa Rais wanachaguliwa kama timu moja uchaguzi mkuu, unaweza kumpigia Rais kura ya kukosa imani Makamu akabaki?

    NA walishapiga kura ya kutokua na imani na Rais automaticaly bunge nalo linavyunjwa kupisha uchaguzi mkuu mwingine.... ni mbunge gani mwenye ujasiri wa kupiga hiyo kura??
Back
Top Bottom