Recent content by Watch UR6

  1. Watch UR6

    Ukitaka Gari lenye muonekano wa Kisasa, Mafuta Kidogo, Service Kidogo, Reliable Basi Chukua Nissan Note E13 (e-Power)!

    Hiyo gari Japan imetembea KM ngapi? Jamaa yako ndio kaua gari. Nilikuwa na Nissan Note, uzembe nikachelewesha service, ikaanza kugoma kurudi reverse. Gear box ikafa, nikafunga nyingine testing ikawa vizuri. Oil ikapungua kama nusu lita, fundi maiko akasema kuna hii universal (haikuwa NS2)...
  2. Watch UR6

    Kwanini wachawi hawawezi ingia strong room ya benki wakachote pesa ila wanakufuatilia wewe unaelala na madumu ya maji, mandoo na gesi chumbani kimoja

    Uchawi hauna faida ya moja kwa moja. Hata akiingia ndani kwako hawezi ondoka hata na 100, ila amaweza kukutoa akakulaza nje.
  3. Watch UR6

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    69SBKE ...SB Zinaanza saa 11.
  4. Watch UR6

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    5WMD6K......SB 6RYP8N..........SB
Back
Top Bottom