Tumesikia ya ATCL makubwa na yanayohatarisha maisha ya watu , hakuna hata mkuu mmoja wa serikali aliyesimama kidete na kuisafisha manejiment au kuikemea ...
Tumesikia ya Benki ya Posta juu ya ubadhirifu na JINAI ya kughushi laikini hakuna hata kiongozi si wa shirika lenyewe,wizara au kiongozi...