Recent content by wangatala

  1. W

    Kule Waajemi na kule Wauthi aiseee dunia inahemea juuu

    Malalamiko yao ni nini hivyo vikundi ulivyovitaja?
  2. W

    Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

    Fikra za kiinjilisti hizi ,inachapwa na drone ya milioni 50,inaipangua KWA kutumia bilioni moja,ndo ipo mbele kiteknolojia? Humu amekuleta nani?
  3. W

    Iran ngoma inazidi kuwa nzito wakati vikwazo vikianza kuuma.

    Umri wako tafadhali Nakufananisha na msafiri anayepita nyikani toka mwanzo WA safari mpaka anafika hajageuka nyuma
  4. W

    Trump Atangaza “Vita vya Kiuchumi” Dhidi ya Iran

    Alizidiwa akili Hana hamu,anashusha drone ya 50ml,anatumia bilioni moja, kafunga hormuz Us,Iran anachochora na reli ,
  5. W

    Iran na nguvu zake alizonazo ameshindwa nini kuvunja US Naval blockade?

    KWA nini hutaki kumwelewa? Iran anasafirisha nishati yake KWA reli,
  6. W

    MUNGU ni mmoja tu, hana mtoto, hakuzaa wala hakizaliwa wala hafanani na yeyote yule

    Kaka Mungu Yupo,unampinga hata Yesu? Luka 6:12 Ikawa katika siku hizo Yesu alienda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
  7. W

    US General: Hatuna silaha kuilinda Israel bora tujilinde wenyewe

    Waamini tu,wangeshamaliza mchezo kama Venezuela,,,wamegonga kisiki,
  8. W

    Ni zipi faida za kuvuta sigara?

    Jamaa yangu amempokea Bwana😳 Hataki kuisikia sigara eti unaunguza ekalu la Bwana,anachonisikitisha anavimada havihesabiki😝 Au ndo kashikilia andiko"hakuna mtenda mema,akakosa tenda dhambi"?
  9. W

    Ni zipi faida za kuvuta sigara?

    Mi siwezi lala bila kuvuta,siwezi toka ndani asubuhi bila kuvuta, Balaa laja mwezi mtukufu huwezi vuta ndani ya swaumu,Mda WA kufuturu nakiwasha kwanza,nyie malizeni tu ftari,,,,acha tuu🙌
  10. W

    Marekani yamaliza 65% ya makombora kwenye vita ya Iran

    Pendelea zaidi kusikiliza kuliko kusikilizwa
Back
Top Bottom