Ndugu yangu ndani ya JF kila kitu NI RUKSA!!!! Huu ni mtambo wa kufichua maovu na kuwaelewesha wanaforum kwa ujumla juu ya uozo unaofanywa na wanaojiita wenye nchi!Dont hesitate.
Sasa wewe unamongelea huyo muimba taharabu? wote wanafanana na mwenzie muimba kwaya ndugu komba! Adhabu ya sharia imeshamuhukumu, kwani mwizi na anayetetea mwinzi adhabu yao ni kukatwa mkonoo!
Kwa upande wangu mimi naona umeongea la maana! kwani haya magazeti naona yanafanya biashara ya advitersment! kila kukicha yanatangaza jina la Zitto tuuuu! mradi wayauze na mbaya zaidi wanatumiwa na mafisadi waliohusika na kashfa za madini!
Huyo JK alikuwa wapi mda wote? anazinduka wakati wenzie wameshashiba! pia anajikosha kwa wapinzani wamuone kama anasikiliza vilio vya walala hoi?
ANATUYEYUSHA TU NA KUUZA SURA KWAKE!
Kwa kuanza naomba niwaulize JE TANZANIA INAFUATA DINI GANI?
Kuhuliza huko kunatokana na hii hoja ya MAHAKAMA YA KADHI!!.Hoja hii kwa mara ya kwanza ilianzishwa na ndugu yetu Mrema akiawa mbunge wa temeke kwa chama cha NCCR,ikaishia hewani hewani. Mara ya pili ikazushwa tena na mbunge mwingine...
Tanzanian 'fraud' draws foreign flak
A political storm over corruption allegations in Tanzania could compel President Jakaya Kikwete to sack Prime Minister Edward Lowassa -- and is already damaging the country's standing with international donors.
Tanzanian press reports in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.