Recent content by wakumbuli

  1. W

    Diamond: Hata kama mtoto si wangu niacheni

    Saka pesa kijana kwani wao wanauhakika kuwa baba waliowalea ni baba zao
  2. W

    Wako wapi wanunuzi wa madini?

    Wadau nahitaji kufahamu mercury ya kiwandani ikoje na ya kwenye mwamba ikoje
  3. W

    Wako wapi wanunuzi wa madini?

    Wadau nahitaji kujua Mercury in rangi gani hasa maana najua kwa kusoma kwa makaratasi na story ,kuna ya kiwandani na jiwe sasa je yakiwandani ikoje na soko lake likoje kwa gram
  4. W

    Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

    nafikiri CDM bado mnahitaji kujipanga hii taarabu haitatusadia kamwe
  5. W

    Godbless Lema, Shujaa Mahiri Anayekiuka Kanuni za Chama

    nafikiri kuna kila sabaubu yakumtoa lema katika nafasi tuliyompatia sababu hana maadili ya uongozi na hana busara,na moja ya sifa muhimu ya uongozi ni kuwa na utii,uadiliu na busara
  6. W

    Samaki wa ajabu jamani huyooooooooooo

    ameonekana wapi wadau
  7. W

    Mambo ya sharobaro hayo

    hahaha mayai hayooo yanasumbua
  8. W

    Majambazi waipora maiti.

    du kweli peoples hazina sooo,na kama mtaji wa masikini ni nguvvu zake mwenyewe hii si nguvu tu na ushetani ndani yake
  9. W

    kila kilichonamwanzo hakikosi mwisho!

    sharoboro men,roho yako ilazwe mahala pema amein
  10. W

    mbunge fulani na utandawazi

    hivi wajameni ,habari zenu,juzi kwenye kipindi fulani hivi niliangalia eatv nikaona Mh Mbunge wa Bumbuli akioshwa kichwa je waungwana ni halali au ndio utandawazi wenyewe,na je ndio kusema mkewe yuko bizy kiasi cha kumhudumia mumewe,au je ni ni kweli ameshindwa hata kukata kucha
  11. W

    Kero ya kilimanjaro hospital na bima

    Habari zenu wana jamii forum,mimi ni mkazi wa moshi kilimanjaro,huwa nikiumwa au ndugu yangu kuumwa huwa nampeleka kilimanjaro hospital,lakini huwa kuna kero kubwa hasa ukiwa unatumia bima kuanzia kwa madaktari na wadada wembamba wa mapokezi,jana nilienda nikiwa napeleka mgonjwa tukakaa zaidi ya...
  12. W

    tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

    Hivi wajameni kampuni ya Tigo inajali wateja au,Niko KLM nilimtumia ndugu yangu pesa kwa huduma ya Tigo pesa na kwenye cmu yangu inaonekana salio limepungua na ndugu yangu amepokea sms ya kupata fedha ila akijaribu kutoa anaambiwa hana salio,Nikaenda kwenye ofisi zao wananiambia nipige 150...
Back
Top Bottom