Recent content by WAKIJIJI

  1. W

    Je, aliyefungwa na Mwamba Azam FC na aliyefungwa na Mchovu Ihefu FC nani ni wa Kudharaulika na Kuchekwa?

    Ilikuwa mwaka 1988/89 simba waliifunga Yanga 2-1 na kunusurika kushuka daraja.
  2. W

    Last minute lounge ya Irene Uwoya, Sinza Mori

    Sent using Jamii Forums mobile app
  3. W

    Last minute lounge ya Irene Uwoya, Sinza Mori

    Sent using Jamii Forums mobile app
  4. W

    Hakika Siku zaja tutamkumbuka Jakaya Mrisho Kikwete

    JK is my hero. Kitendo cha kumkata fisadi Lowasa na kutuletea Magufuli kinanifanya nimfutie makosa ya utawala wake. Leo hii tunaye rais wa kujivunia.
  5. W

    Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Upo ndani ya mstari mkuu. Kwa wenye kumbukumbu za makonteina yaliyozuliwa bandarini muda mfupi baada ya Bade kuwa kamishna wa TRA hadi wafanyabiashara wa kariakoo wakatishia kuandamana. Ilikuwaje zikaachiwa na ni nani wahusika? Huenda Bade analipia utii wake kwa waliomshinikiza.
  6. W

    Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Kwa mujibu wa radio one saa kumi jioni leo: Majaliwa: unafahamu upotevu huu wa makonteina? Bade: ndio Majaliwa: unayo majina ya wahusika. Bade: majina yapo ofisini. Majaliwa:(anampa karatasi ya ushahidi wa magari yaliyobeba makontena) je ndio haya hapa? Bade: ndio mkuu. Sasa kwa hali...
  7. W

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Natamani iwe kweli. Prof Muhongo namkubali sana.
  8. W

    Lowassa kutoa tamko zito Jumamosi katika Ufunguzi wa Kampeni Jijini la Arusha

    Yeremia 23:16 "Bwana wa majeshi asema hivi, Msisikilize maneno ya manabii wakiwatabiria; huwafundisha ubatili; hunena maono ya mioyo yao wenyewe; hayakutoka katika kinywa cha Bwana"
  9. W

    Jose Mavinga Nimi: Jasusi la Lowassa lililoshikwa na polisi

    Kuwa makini na ukanushaji wako. Thread hii imeletwa baada ya kupiga kura na vijana wa Lowasa kukamatwa katika tallying centre ya Chadema/ukawa na kumbuka Lowasa alidai kuachiwa watuhumiwa akidai ni vijana wake. Mahaba yako kwa Lowasa yanakutia upofu! Google Jose Mavinga Nimi halafu uje...
  10. W

    Mwanamkakati wa timu ya kampeni na msaidizi wa Lowassa ni Mkenya

    Ukiunganisha na yule kutoka Ufaransa gaidi wa Savimbi aliyekamatwa pamoja na vijana wa IT wa Lowasa ndio utajua kwamba Lowasa hakuwa na nia njema kwa nchi yetu. Ingia hapa: Jose Mavinga Nimi - Jasusi la Lowassa lililoshikwa na polisi
  11. W

    Lowassa Kuongea Na Watanzania Jangwani November 8, 2015

    Lowasa ataongea kama nani sababu hana cheo chochote ndani ya Chadema! Alikuwa ni mgombea urais na mshindi ni Magufuli. Kama anataka kupanda jukwaani kwa sasa inabidi mbowe ampe cheo kingine mbali ya ugombea urais ambao muda wake umekwisha.
  12. W

    Hesabu hazidanganyi: UKAWA wabunge 22% halafu eti wameibiwa kura za URAIS inakuja kweli?

    Swali Zuri sana, walikamatwa sababu walitaka kuhujumu matokeo ya kura za urais kwa kitumia magaidi. Ingia hapa: https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=965196&p=14507626
  13. W

    Jose Mavinga Nimi: Jasusi la Lowassa lililoshikwa na polisi

    Hii kitu inatisha, hongera TISS kwa kazi mfanyayo. Huyu ni fisadi na gaidi asipewe nafasi ya kupumua. R.I.P Mchungaji Mtikila.
  14. W

    Jinsi Gwajima alivyochangia anguko la Lowassa

    Huu ni ukweli ambao wengi Wanakwepa kuusema. Ulikuwa ni mpambano kati ya wakatoliki na waprotenstant na hatimae wakatoliki wameibuka washindi.
Back
Top Bottom