Recent content by Waka Waka

  1. Waka Waka

    Rais Samia: Lazima tukusanye Pesa zetu za ndani huko nje masharti yamekuwa yakiongezeka

    Yani ss tulipe kodi ww ule n chawa wako. Hii Hapana kwakweli
  2. Waka Waka

    Professa Tibaijuka ashtushwa na kasi ya ukuaji wa deni la taifa

    Tukisema sisi mnasema ni kawaida ok kasema professor
  3. Waka Waka

    Dar: Watuhumiwa 17 wakamatwa wakitaka kuwafanyia Mtihani Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria

    Hahahah!! Ndio aina ya wasomi w Tanganyika.kisha wakija kwenye ushindani weupe kabisaa empty box. Ndio mana wanakataa kufanyishwa interview kwenye ajira. KAZI ni kipimo cha utu
  4. Waka Waka

    Mkurugenzi AMSONS: Kampuni za Kichina ni tishio Afrika Mashariki

    Si wapunguze bei shida iko wapi? Ndio maana watu wa Africa mashariki tunawaitaji wachina kwa Bei poa. KAZI ni kipimo cha utu
  5. Waka Waka

    Nakubaliana na Manara: Karia na TFF yake wameonyesha chuki yao Kwa Yanga hadharani

    Kwa kumbukumbu zangu karia ni COST UNION ya TANGA. Kazi ni kipimo cha utu
  6. Waka Waka

    Plot4Sale Nauza kiwanja Nyamhongolo

    All the best
  7. Waka Waka

    Nyumba inauzwa kimara matosa

    Shangaa ww nikishangaa mm nitaonekana mtata bure!! Milion 80.
  8. Waka Waka

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    All the best
  9. Waka Waka

    Goba kulangwa viwanja vinauzwa

    All the best
Back
Top Bottom