Mkuu wa mkoa, tafadhali, chonde chonde, piga marufuku wana saridalamu wote, si me wala ke, kuwa na viriba tumbo.
Hawa watu wenye viriba tumbo ndiyo wachafuzi wakubwa wa hewa... Na hili ongezeko la joto mjini hapa sababu kubwa ni wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.