Recent content by Wade 3

  1. Wade 3

    Mke wa rafiki yangu

    Kuwa na heshima baba yangu sio mpumbavu mpumbavu kama wewe
  2. Wade 3

    Mke wa rafiki yangu

    Bosi una umri gani kwanza ?
  3. Wade 3

    Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Kaka usimsamehe huyo jiulize huko alikoenda angekua kajipata maisha yamemnyookea na wewe hali yako ingekua mbaya angekuomba msamaha? Amekubali kuludisha majeshi baada ya kuona kachakaa naww usikubali Hata kama uzi ni wa 2019 Ila usikubali hata leo
  4. Wade 3

    Kwa nini mafuta hayashuki bei? Data zinaonyesha mafuta yanatoka mashariki ya kati kwa wingi kuliko hata kabla ya vita

    Wanaofanya hizo biashara asilimia kubwa ni wanasiasa na wanasiasa ndo wanaoamua sisi tuishi vipi
  5. Wade 3

    Nipigie simu kama unauza Gari yako

    Mitsubishi DVR ndo ipo boss
  6. Wade 3

    Philip Mangula: Magufuli alitaka kujiondoa kwenye mizunguko ya kutafuta wadhamini kisa wenzake walikuwa wanatoa pesa

    Kwani nani alie waambia kwamba wanaenda kulipwa wakijaza fomu??
  7. Wade 3

    Jinsi neno la Mungu (Biblia) linavyoweza kukupa mbinu na fikra kwenye maisha

    Nimeishia kwenye kutoa sadaka tu hapo Nikajua ndo walewale Ila komaa utawapata humu
  8. Wade 3

    Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

    Tanzania tuna mchango gani kaka?
Back
Top Bottom