Recent content by Wachokonozi

  1. Wachokonozi

    Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

    Ni HAKIKA INAFIKIRISHA SANA. Japo matatizo yote yanasababishwa na suala la malezi na makuzi ya mtu tangu akiwa mtoto, asilimia kubwa wazazi ni hawalei watoto ipasavyo, tatizo sio mtu kuwa single mother inshu ni familia aliyokulia na shule aliyosomea. Hadhi ya mzazi hufanya mtoto ajivune.
  2. Wachokonozi

    Baada ya kupewa heshima ya umakamo mwenyekiti. Nitakua mchoyo wa fadhira nisipotia neno kuhusu KATAA NDOA

    Hahahah, hapo nakupata sana mkuu. Kumbe uchawi ni kule kisaini ule mkataba wa ndoa, siwezi kufanya huo ujinga. KATAA NDOA👊
  3. Wachokonozi

    Siku nikimuoa mke wangu

    Nawaza je siku hiyo mke WANGU atajua sijaoa jinsia yake ya kike Wala hajaolewa na umbile langu la kiume? Je atajua umri wangu na wake si kiini chetu, Wala uzuri wake si nguzo yangu ya kudumu? Siku nikimuoa mke wangu sitamvika pete kwanza, nitamvika maswali. Kwasababu ndoa si sherehe ya kupiga...
  4. Wachokonozi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ngoja nichukue maandazi.
  5. Wachokonozi

    Jinsi Watanzania Wanavyoichukulia AI (Akili Mnemba) na Madhara Yake

    Hahah aliyetuletea elimu ndiye katuletea na hiyo Al sasa shida iko wapi??
  6. Wachokonozi

    Naomba ushauri ndugu zangu

    Sisi hoja yetu ni ileile, MAPENZI YAFUTWE.
  7. Wachokonozi

    Nimemuacha kwa sababu hataki kunizalia

    Kwanini unahitaji kuzaa mkuu, nimeona kama lengo ni akuzalie mtoto wa kike ili ujipatie ng'ombe wako 50 basi utakuwepo umefeli parefu sana. Kaa fikiria ujue kwanza ni kwanini unataka ulete mtoto, ama unaleta mtoto na falsafa ipi nadhani angekudhalia tu huyo mwanamke. Anyway, Upone.
  8. Wachokonozi

    Kila mwanamke aliyeolewa ana mwanaume mmoja anayempenda zaidi ya mume wake .

    Binafsi mwanamke hata awe na mwanaume mwingine anayempenda mimi sina shida, kikubwa tuelewane mimi na yeye. Ila siku nikimfuma na huyo mwanaume talaka 3 hapohapo *****. Anyway, KATAA NDOA.
Back
Top Bottom