Recent content by wa ngarenaro

  1. wa ngarenaro

    Hadithi: Umslopogazi na Nada

    Ninasubiri...
  2. wa ngarenaro

    Nimeishi na hali ya kutisha ya akili (kama si mtu halisi) tangu nikiwa na umri wa miaka 8 hadi sasa

    Mimi ni muhanga wa hii hali, nikivuta kumbu kumbu ilinianza 2009 baada ya kumaliza kidato cha nne. Nimekuwa nikihangaika sana na mpaka wakati huu, sijapata suluhisho.
  3. wa ngarenaro

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu karibu tubadilishane, uje Biharamulo idara ya sekondari nami niende Arusha DC, Monduli, Meru, Hai, Siha, Ama Babati. Karibu sana
  4. wa ngarenaro

    Tupeane mbinu kuhusu Online Teachers Application Sytem (OTEAS)

    http://ajira.tamisemi.go.tz ISIPOKUA nimetumia firefox maana chrome inanigomea
  5. wa ngarenaro

    Tupeane mbinu kuhusu Online Teachers Application Sytem (OTEAS)

    system iko vizur sasa, bado vitu vidogo vidogo kama teaching subjects tu ndo hazipo zote kama ukiangalia mwongozo wa tamisemi unavosema
  6. wa ngarenaro

    Tupeane mbinu kuhusu Online Teachers Application Sytem (OTEAS)

    nimeweza kulogin na kutuma maombi.. changamoto ni stage ya mwisho pale kwenye applicant teaching subjects, inaonekana masomo ya kufundishia hayapo yote, labda wayaupdate kadri muda unaokwenda
  7. wa ngarenaro

    Wabunge wa Urusi waandaa mswaada kukata ushirikiano wa kiuchumi na Marekani

    [emoji1] [emoji2] [emoji3] Tutawauzia USA bidhaa gani kwa mfano???
  8. wa ngarenaro

    Wanaume acheni tabia ya kusema tunatoa harufu sehemu za siri, baadhi yenu mna shahawa zenye harufu kali

    Me nawakutaga kwenye daladala na usiombe anyeshewe na mvua, wigi likilowa ndo balaa zaid
  9. wa ngarenaro

    Wanaume acheni tabia ya kusema tunatoa harufu sehemu za siri, baadhi yenu mna shahawa zenye harufu kali

    Unakuta mwanamke ana wigi miez 3 kwa kichwa, harufu yake anamzidi beberu
Back
Top Bottom