Recent content by WA MILELE

  1. W

    Mashabiki wa mpira Tanzania ni masikini sana

    Mimi kama nabii mwenye uwezo wa kuona mbali naziona siku zako za kuishi sio nyingi hufiki mwanka 2025 utakua umekufa Cha kukushauli hizo Mali ulizonazo anza kugawa ulithi kama unawatoto nimemaliza. NB usipuuze maneno yangu
  2. W

    Tatu Malogo, mwamuzi mbovu kuwahi kutokea Tanzania

    Angalia vizur hamna alieotea
  3. W

    Taifa Stars (Nyota)wameibuka vinara dhidhi ya Guinea kwa ushindi wa 2 - 1

    Sasa huu uchambuzi Gani? Yaani ulichokifanaya mtu umeangalia nae movie halafu unafika nyumbani unaanza kimsimlia movie ile ile mlotoka kuiangalia.
  4. W

    Hodi humu, naomba mnipokee mgeni

    Asante mkuu. Halafu mkuu mbona kila MGENI hapa jf wewe ndo huwa wa kwanza kumpokea ?
  5. W

    Hodi humu, naomba mnipokee mgeni

    Kumbe nawewe kama Mimi
  6. W

    FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

    Tanzania imenichania mkeka wangu nimeikosa laki 4 hivi hivi inaniuma😥😥😥😥
  7. W

    Hodi humu, naomba mnipokee mgeni

    Ninafuraha Sana kuwa member wa jamiiforms nimekuwa nikitamani Sana kujiunga humu hatimae Leo nimefanikiwa naombeni mnipokee wakubwa.
Back
Top Bottom