Recent content by Von Dee

  1. Von Dee

    Niendelee kuficha siri hii au niwaambie hawa mabinti waujue ukweli

    Utapata akili siku ukija kujua mke wako nae ana majamaa wawili wanamsumbua wanaosubiri ufe/uachane nae nao wamuoe🫵😁
  2. Von Dee

    Sikujua kumbe ukiwa mkubwa ni hivi!

    Ukishakuwa mkubwa ndo utajua ama HASIRA AU REHMA za MUNGU zinakusu wewe 😎
  3. Von Dee

    Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

    Ndoa haiitaji wachambuzi kaka.. Wewe ndo mwamuzi wa mwanzo na wamwisho kwenye maisha yako📌
  4. Von Dee

    ITV Tanzania huo u ‘super brand’ nani aliwapa? Je, ni tuzo ya kudumu?

    Kwenye taarifa ya habari ya ITV unakuta hata sura ya mtangazaji haionekani vizur kabisaa😁 sielewagi kama shida ni camera wanazotumia au ni quality mbovu ya picha ya TV yangu😆😆
  5. Von Dee

    Rose Migiro: Polisi hailindi CCM, inawalinda wananchi

    Hata kingereza kuna chakuandika na kuongea😎
  6. Von Dee

    Watu wanazeeka aisee! Kweli mimi wa kuwapa shikamoo classmates?

    Kuona mabadiliko mengi ya mwenzako kunamaanisha wewe hubadiliki😎
  7. Von Dee

    Utambulisho wako wa JamiiForums (jina) chanzo chake ni nini?

    Kuna mchumbaangu enzi za miaka ya 2016/2017 alikuwa anaitwa Amina ila nkawa namwita Minah ili kuleta uzungu kidogo alafu yeye ananiita Dee.. Kwahiyo likazuka jina la "kapo" yetu "Minah Von Dee" 😎 Tulivyoachana nikabaki na hiyo "VON DEE" ye akaenda 😁😁
  8. Von Dee

    Ujanja wa Sokoni Dar

    Anaeibiwa apo nae anaiba kwenye eneo lake la kazi.. mjini ni kuviziana tu karibu kila mtu mwizi
  9. Von Dee

    Tangu mwaka 2026 uingie, umefanya lipi la maana?

    Sasa kumpenda mke wako ndio mafanikio? 😂😂 Be a man bro😀
  10. Von Dee

    Tangu mwaka 2026 uingie, umefanya lipi la maana?

    Hayo sio mafanikio mzee 😂😂 Usiniulize kwanini
  11. Von Dee

    Kila mwenye Iman aombe kwa ajiri ya Taifa hili😭😭

    Na anaitwa "Mheshimiwa" 😂😂😂
  12. Von Dee

    Umeshawahi kumsaidia Mtu kile Kidogo kabisa ulichonacho kisha baada ya kumsaidia akaingia Mitini hana Habari na Wewe unajua inauma Kiasi Gani?

    Sio lazima napengine hujui labda msaada ulompa haukumfikisha huko unakodhani wewe amefika.. Ukishasaidia part yako imeisha usisubiri shukrani wala fadhila.
Back
Top Bottom