More meaning
".... uchawa ni kusifia kitu au mtu ata katika madhaifu yake. Mtu ambaye siiyo chawa atakuambia wapi umekosea na wapi umepatia.
Ata kuleta English kwenye Uzi wa kiswahili ni uchawa ..unakuwa chawa wa wazungu...nafikiri
It seems like you are one of the so called chawa.Come out with your open idea....the chawa situation now starts from family level organisational and global scope
Nyongeza samahani kuna sehemu sijaisoma....
Mimi mwenyewe wa mikoani tena siyo maisha ya kishua ata nakaribisha tu maoni kama sociologist anayechupukia😃 leta maoni lengo tujue machawa ni watu gani hasa...au na wewe ni chawa😃
Zaidi ya Asilimia 90 ya watu ni machawa.
Hii ni kwasababu wengi huishi kwa kuwasifia watu/makundi bila kujali mapungufu yao ili kujifaidisha na hii ndiyo maana ya uchawa.
Asanteni
Ukisoma biblia kwa umakini utajua kuwa amri izo unazoziita kumi zina mapana na ufafanuzi wake kwa lugha nyingine amri ni Zaid ya kumi kwa ujumla wa neno la Mungu.
Ndugu kumbuka
Siyo sahihi kumuoa dada Yako
Siyo sahihi mtu kulala na mnyama
Mapenzi kinyume na maumbile hayarugusiwi nk.....lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.